Ni kweli Waislam wamekataliwa kutumia Uwanja wa Uhuru kwa ajili ya Eid fitr baada ya kukubaliwa?

Mzee mohamed katika andiko lako kuhusu Islamic bible scholar imenishangaza Sana.maisha yangu yote nilikuwa sijui kama kuna udini ,ila nilivyohamia mbagala ambao kuna ndugu zako Wa kiimani wengi kuna mambo ya ajabu Sana.kutwa ni mihadhara ya kidini kushambulia ukristo Na DVD za kashfa watu wenyewe ukiwaona hawana uhakika Wa Kula Na wamekata tamaa ya maisha Na hao walioweka convert to Islam ni njaa au tamaa za Dada zetu kutaka ulaini Wa maisha mwisho Wa siku yanawashinda coz wanaolewa Na wauza unga.kuhusu ugeni wangu jf ,usinizuie kisakologia nisitoe mawazo yangu. Tatizo nyie walalamishi Sana .are you professional katika dini yako kama mtetezi?
Zungumzia paper kaka sio mbagala, na matusi sio mawazo ni ugonjwa.
 
Usijitie Uzuzu , hivi wayahudi ndugu zake walimpa jina yesu? au Jesus ? unaju asili ya jina hili ni zeus, mungu wa kipagani ?
Mama ake alomzaa alimwita yesu ?
kwanini asiitwe Yah-zeus
kwanini asiwe yeshua
wengine wanasema akitwa yahashua
Unajua Hakuna harufu 'J' Kwenye lugha ya hebrew , ambayo ndio mother tongue ya 'Jesus' ? sasa ukiulizwa jesus mlimtoa wapi ?
Arabic na Hebron ni sister language....
hao walimu wako na waanzilishi wa jina jesus kule Niancea ndio walipotosha hlo jina na kila mmoja akaja na lake ...

basi kama intellingence yako iko hivo ni kuwa hakujawahi kuwa na kiumbe alie itwa yesu wala jesus popote duniani...

Sheikh Dedat atakusaidia


Kweli una mapepo indegeneously Jina YESU kwa kibrania ni YAHSHUAH sio upumbsvu uliouweka hapo.
 
Student Teacher,
Nimeona niseme kitu kidogo kwa kuwa mimi kwa hakika
si mtaalamu wa Biblia.

Ninakubaliana na wewe kwa hilo ulosema kuwa Yesu hana
baba.

Hakika Yesu hana baba.

Ni katika miujiza yake Allah kama vile alivyomleta Adam bila
baba wala mama.

Juu ya hayo yote nimgependa usome hii hapo chini:

Mohamed Said: THE LEGACY OF SHEIKH AHMED DEEDAT (1918 - 2005)
Kitu kidogo sana ambapo waislamu mnakosea yaani ni kama punje ya haradali.
Ni kufananisha uislam na ukristo baaaasi. Biblia na Quran baaaasi yaani ukifanya Biblia na Quran na content zake kama mchana na usiku mbingu na ardhi mashariki na magharibi hautaumiza kichwa kuelewana.

Mungu wa Bible na Quran ni tofauti kabisa na wakristo wanahubiri injili yao hata Quran hawaitambui ila nyinyi mnahangaika sana na kujinasibisha na mambo ya wakristo mbona msijinasibishe na mabuda?
 
Nimehudhuria Tamasha La amani liandaliwalo na Erick Shigongo kila Mwaka, Huleta Vikundi Kibao vya Kwaya na Mara nyingi mgeni rasmi alikuwaga Kikwete, Leo hii Waislamu wanataka kutumia uwanja mnawakatalia kwa nini?. je huu siyo udini na Ubaguzi?. Je mbona matamasha ya Pasaka yanafanyika katika uwanja huu, iweje Waislamu wasifikiriwe nao katika shughuli yao?
Serikali iliangalie hili jambo na iingilie kati na kuwawajibisha wale wote waliopewa dhamana za mamlaka na vyeo lakini wanapanda mbegu za chuki na udini katika nchi.

Waislam wa BAKWATA hawajakataliwa waliokataliwa ni waislam wasiomtambua Muftin Mkuu.Kila kiumbe kina kiongozi iweje baadhi ya waislam wanajifanya hawamtambui Muftin Mkuu wa BAKWATA chombo kinachowakilisha waislam wote Tanzania.
 
Waislam wa BAKWATA hawajakataliwa waliokataliwa ni waislam wasiomtambua Muftin Mkuu.Kila kiumbe kina kiongozi iweje baadhi ya waislam wanajifanya hawamtambui Muftin Mkuu wa BAKWATA chombo kinachowakilisha waislam wote Tanzania.

Hayo ni ya Waislamu wenyewe si jukumu la Serikali kuwalazimishia kila Muislamu nchini amtambue Mufti.
Maadam Taasisi zote zimesajiliwa na serikali basi serikali ifanye ya kusimamia sheria, siyo kuingilia mambo ya tofauti za kiroho za waislamu wenyewe
 
Hayo ni ya Waislamu wenyewe si jukumu la Serikali kuwalazimishia kila Muislamu nchini amtambue Mufti.
Maadam Taasisi zote zimesajiliwa na serikali basi serikali ifanye ya kusimamia sheria, siyo kuingilia mambo ya tofauti za kiroho za waislamu wenyewe

Serekali inatambua BAKWATA full stop taasisi nyingine zimekaa kama kampuni za watu binafsi.Ebu niambie ile taasisi ya kutetea mali za waislam unaweza kuiweka kama taasisi ya waislam Tanzania au kampuni binafsi ya Sheikh Ponda Mzee wa vurugu na mafunzo ya kareti.
 
kha yani unaleta ushahidi wa Wikipedia??? hakuna biblia ya kiarabu ambayo inemtaja issa eti ndiyo Yesu. Tatizo lenu tangu mdanganywe hivyo hamtaki hata kutafiti. Tofauti kubwa ya Yesu na Issa ni kuwa Yesu alifufuka lakini huyo Issa wenu tangu afe hajawahi kufufuka
Nashukuru kunifahamisha hayo..nilikua siyajui..Mwenye-Enzi akufunulie mengi zaidi utuelimishe..
 
Back
Top Bottom