Synthesizer
JF-Expert Member
- Feb 15, 2010
- 11,143
- 18,774
Leo nimesoma katika gazeti kwamba kuna mtaa huko Palestina utaitwa kwa jina la Nyerere ili kumuenzi katika kuwaunga mkono dhidi ya ukandamizaji toka Israel. Nakumbuka ikisemekana kuna wakati Nyerere aliagiza Tanzania inunue ndege mbovu mbili za Wapelestina ili mradi tu kuwaunga mkono katika mapambano yao. Mara kadhaa alimwalika kiongozi wao Arafat kuja Tanzania. Hata Nyerere alivunja uhusiano wa kibalozi na Israeli kwa sababu ya suala la Palestina.
Lakini nimejiuliza siku zote, je ni kweli Tanzania ilipoingia vita vya Kagera Wapelestina walitugeuka, wakatusaliti na kumsaidia Idd Amini kijeshi dhidi yetu? Hebu angalia kilichomo katika Wikipedia;
From Wikipedia, the free encyclopedia
Jump to: navigation, search
The Uganda–Tanzania war (usually referred to in Uganda as the Liberation War) was fought between Uganda and Tanzania in 1978–1979, and led to the overthrow of Idi Amin's regime. Idi Amin's forces included thousands of troops sent by Muammar Gaddafi, and some Palestinian support.

War records | ||
Tanzania | Uganda | |
Belligerents (Allies) | Tanzania, Mozambique, UNLA | Uganda, Libya, PLO |
Leaders | Julius Nyerere, Samora Machel, Abdala Twalipo, Tumaini Kiwelu, Tito Okelo, Yoweri Museveni, David Oyite Ojok, | Idd Amini, Muammar Gaddafi |
Strength | 100,000 Tanzanians 6,000 Ugandan resistance troops A Mozambican battalion | 70,000+ Ugandan Army troops 3,000 Libyan troops 200+ Palestinian troops |
Casualties and losses | 373 Tanzanians 150 UNLA | ~1,000 Ugandans ~600 Libyans |