Ni KWELI NCHEMBA ANAITWA LAMEKI. TBC1

KOMBAJR

JF-Expert Member
Nov 15, 2011
5,827
1,271
Katika kipindi cha TBC1 Mtangazaji Marini Hassan amemuita Nchemba Lameki na Nchemba hakukanusha je it was sleep of the tongue au alikuwa anamaanisha?

Naomba ufafanuzi....Mwigulu ulimsikia marini alivyokuita lameki?
 
Mambo ya lugha za wenzetu hayo!
 
Whatever nchemba anachoitwa kinakusaidiaje ktk mapambano ya kumkomboa mtanzania kiuchumi? Small brain! Whatever isn't this a platform for great thinkers? Usiwe selfish kumbuka unapotufanya tutumie Muda wetu kusoma unatuibia
 
lameck ndio jina lake sahihi
jina mwigulu nchemba nila marehemu
moja hiv shinyanga miaka hiyooo
alichofanya kaenda mahakamani
kaunganisha majina yote matatu

kama wakina
-J.mtatilo
-philipo mulungo n.k

Nashauri habari ya huyu jamaa tumuache kumjadili humu ndani kabisa.
 
Katika kipindi cha TBC1 Mtangazaji Marini Hassan amemuita Nchemba Lameki na Nchemba hakukanusha je it was sleep of the tongue au alikuwa anamaanisha?

Naomba ufafanuzi....Mwigulu ulimsikia marini alivyokuita lameki?

What is in a name?! aitwe shetani au punda who cares!, cha msingi ni kwamba mtu huyu halitakii taifa letu mema na ana mawazo mgando ya kushadidia ubadhirifu na ufisadi wa taifa. anyway tumeshaamka lameck hatafanikiwa
 
Huyu bwana ni msukuma. Haya majina ni kama ameyakarabati ili aonekane yeye ni wa iramba zaidi. Vinginevyo majina yake yanasomeka Lameck Ng`wigulu Nchemba siyo Mwigulu Mchemba
 
Back
Top Bottom