Ni kweli mtu akitumia dawa ya UKIMWI hawezi kumuambukiza mwenzake hata bila kutumia kinga?

Dejane

JF-Expert Member
Jan 1, 2014
49,661
68,638

1D0BCA29-46A6-4FD4-A383-D5F5440CBF3E.png

Hii couple maarufu huko TikTok ni kweli? Dada anasema kaathirika na kaolewa na mwanaume wana watoto na mume hajaathirika na HIV, na wanapendana kweli nadhani mliwaona walihojiwa wenyewe na walisema hawatumii condom.

Najiuliza ina maana DECEPTION alisema kweli kipindi kile au wanahamasisha watu wasiogope UKIMWI?

Je, kuna watu hawaambukizwi HIV?

Ni kweli mtu akitumia vizuri dawa ARV haambukizi wengine?

Je, UKIMWI ni fix tu?
 
DR Mambo Jambo
 
Kuna level ya viral load (idadi ya virusi vya HIV kwenye damu) ikifikia kuwa undetected (kutoonekana kwenye damu) inakuwa huwezi kumuambukiza mwenza wako hata mkijamiiana bila ya kinga.

Ila inataka ujasiri wa hali ya juu. Yani nikijua una ngoma sidhani hata kama mnara utasoma achilia mbali kupiga kavu.

Kama ni kweli jamaa anakula mzigo kavu basi mwamba jasiri hasa.
 
Ndio..kuna level mtu anayetumia dawa kama anatumia dawa vizuri anakuwa mtu asiyeweza kuambukiza wengine...ndo maana Serikali inapigia mkazo watu watumie dawa vizuri..

Hii ni sayansi sio porojo.
Ni kweli mkuu sasa ndio ukajidumbukize kwa mtu mwenye miwaya kisa virus havisomi ivi kweli utakuwa unakaza vipi ? Mbona mtihani sana daaah
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom