Ni kweli kuna upendeleo wa kuwaingiza wazanzibari kwenye majeshi pindi wamalizapo mafunzo JKT na huko kwenye majeshi hupewa vyeo vyenye hadhi ?

Afadhali wakafagie vyoo jeshini maana hakuna ambae cheti ni chake kwa wanaotoka huku.
Ni kawaida kwa hapa watu wote wameajiriwa serikalini.
 
Hili suala lijumuishwe kwenye kero mpya za muungano, pamoja na Fei toto
 
Wazanzibar ni watu wapaguzi haswa hawafai
Bado hii ndiyo mission mama anaupiga! Kuinua znz na kudidimiza bara! Anajijengea uwezo wa kidikteta ambao hakuna anayeweza mgusa! Ni zaidi ya JPM. Alishasema "miye mpemba najua kupuliza"
Mlielewa eti eh! Magufuli anayejitetea kwa upole huku akiua na kuzika kimya kimya aka magufulista!
 
Maza hafai hata kidogo
 
Jeshi la kuzima watu zaidi ya 60M halijawahi kutokea, maana kati ya hao 60M wengine wako huko huko jeshini. Na kama yuko anayefikiri hivyo anajidanganya na Mungu wa Mbinguni amsaidie.
 
Back
Top Bottom