Ni kweli jeshi letu la polisi ni la kikoloni ndiyo maana wanavaa makombati kama ya ...... - sugu

Mbugi

JF-Expert Member
Jan 7, 2011
1,488
257
Hivi karibuni wa mheshimiwa mr ii amekaririwa akifananisha jeshi letu la polisi na lile la mkoloni hasa kwa makombati wanayovaa, na amesema walistahili kuvaa kwa mfano wa dactari, air hostess, nk;
 
Teh teh teheeeeeeeee! Hata elimu waangaliwe vizuri kabla ya kuajiriwa nafikiri hata mafunzo wanayopewa ni dhaifu, inabidi wafundishwe namna ya kuhendo watuhumiwa kwa kutumia akili na sio nguvu zinazosababisha uharibifu wa mali. Pia sheria iangaliwe maana polisi wanauwa raia kwa risasi za moto halafu wanajeshi wapo kimya kabisa, eti nchi ina amani, upuuzi mtupu.
 
Muhimu kuikumbusha serekali ya ccm of "oppresive boot and irrelevance of the colour of foot that wears it"
 
Back
Top Bottom