Ni kweli Harmonize alimsaliti Mzee wa Mjegeje?

sinza pazuri

JF-Expert Member
Aug 16, 2014
2,525
7,374
harmo.jpg
mjegeje.jpg

Habari zinazotembea kwa kasi ya ajabu hapa mtaani kwangu ni tuhuma za usaliti wa Harmonize kwa shabiki yake na supporter wake namba moja Mzee wa Mjegeje.

Mzee huyu ambae alikuwa kama balozi wa Harmonize kila pande ya nchi anapoenda lakini alipopatwa na ugonjwa alipotafutwa Harmonize kwa simu alisema hamjui na akatukana matusi mazito sana ya ndani ya nguo. Hata walipoendelea kuomba msaada kwa ajili ya matibabu aliwakataa.

Hii inaendeleza history ambayo si nzuri aliyonayo msanii huyu kwa watu anaofanya nao kazi. Amekuwa akiwageuka pindi wakipata matatizo.

Huu tuite ni usaliti au roho mbaya?
 
Hana ndugu zake jamani
Msaada unapoomba sio lazima kusaidiwa na kupewa ni hiari
Kwanin msiwalaikie ndugu zake kwa kushindwa kumsaidia
Yeye alikuwa anafanya nini kwenye ujana na akiwa na afya njema hadi ahitaji msaada? Hao akina mzabzab wanajisifia ngono humu ila akiumwa anataka tumchangie. Acha mbususu anazojitambia nazo zimchangie.
 
Kama classmates alifanya kazi na konde, then akalipwa..... that's it man, what's the deal...🤷‍♂️
Classmate wako alikwama na kukwama hakunaga mwenyewe wengine hapa wanaongea mbwembwe usikute washakwama hata msosi wa mchana wanatembeza bakuli kwa SMS
 
Hao wasanii mnaowaona wanapiga picha wakifurahia maisha wengi wana msongo wa mawazo na pesa hawana ukiwaletea habari za kuwaomba hela watakumalizia stress kwa kukutukana , njaa huwa inakaa na hasira pembeni usimchokoze mtu mwenye njaa
 
View attachment 2940706View attachment 2940707

Habari zinazotembea kwa kasi ya ajabu hapa mtaani kwangu ni tuhuma za usaliti wa Harmonize kwa shabiki yake na supporter wake namba moja Mzee wa Mjegeje.

Mzee huyu ambae alikuwa kama balozi wa Harmonize kila pande ya nchi anapoenda lakini alipopatwa na ugonjwa alipotafutwa Harmonize kwa simu alisema hamjui na akatukana matusi mazito sana ya ndani ya nguo. Hata walipoendelea kuomba msaada kwa ajili ya matibabu aliwakataa.

Hii inaendeleza history ambayo si nzuri aliyonayo msanii huyu kwa watu anaofanya nao kazi. Amekuwa akiwageuka pindi wakipata matatizo.

Huu tuite ni usaliti au roho mbaya?
Somo:-
UCHAWA HAULIPI
CC:- Lucas mwashambwa
 
Back
Top Bottom