Ni kwamba hawa polisi wetu elimu hawana au hata hao viongozi wao waliowatuma? Video

mkongo

Member
Nov 21, 2009
19
9
Nakuja tena na video kuonyesha msisitizo. Najua baadhi yetu mtakuwa mmeshaangalia video hizi za Unyanyasaji wa polisi wa tanzania (FFU). Ni kwamba elimu yao haiwatoshi? au viongozi wao waliowatuma pamoja na waziri wa wakati huo nao ni hivi hivi. Unaona kabisa mtu habishi kukamatwa lakini wanatembeza mkong'oto utafikiri wanapiga mnyama. Haya ni matumizi ya nguvu yasiyo na lazima. Lawama hizi ziwaeendee Rais Jakaya Kikwete na Rais wa Zanzibar. Nasema tena NAWACHUKIA SANA. Sijui mnajionaje mnapoamka asubuhi na Kuvaa Suti na kujitokeza mbele za watu. Sijui mnafikiri nini mnapotoa amri mambo haya yatokee au hata kuyaona na kukaa kimya. Jaribu kujibadilisha kidogo na kufikiri kama ungekuwa mmoja wa hawa wanaofanyiwa hivi vitendo vya unyanyasaji. Bonyeza kwenye linki zifuatazo kujionea mwenyewe [ame]http://www.youtube.com/watch?v=8vTs4Ue2cPs[/ame] [ame]http://www.youtube.com/watch?v=P1-YuxjdcvU&feature=related[/ame]
 
Nakuja tena na video kuonyesha msisitizo. Najua baadhi yetu mtakuwa mmeshaangalia video hizi za Unyanyasaji wa polisi wa tanzania (FFU). Ni kwamba elimu yao haiwatoshi? au viongozi wao waliowatuma pamoja na waziri wa wakati huo nao ni hivi hivi. Unaona kabisa mtu habishi kukamatwa lakini wanatembeza mkong'oto utafikiri wanapiga mnyama. Haya ni matumizi ya nguvu yasiyo na lazima. Lawama hizi ziwaeendee Rais Jakaya Kikwete na Rais wa Zanzibar. Nasema tena NAWACHUKIA SANA. Sijui mnajionaje mnapoamka asubuhi na Kuvaa Suti na kujitokeza mbele za watu. Sijui mnafikiri nini mnapotoa amri mambo haya yatokee au hata kuyaona na kukaa kimya. Jaribu kujibadilisha kidogo na kufikiri kama ungekuwa mmoja wa hawa wanaofanyiwa hivi vitendo vya unyanyasaji. Bonyeza kwenye linki zifuatazo kujionea mwenyewe http://www.youtube.com/watch?v=8vTs4Ue2cPs http://www.youtube.com/watch?v=P1-YuxjdcvU&feature=related

Inatia huruma sana. Hizi ndizo dhambi mkapa anasema anamwachia Mungu naona.! Hawa jamaa huwa hawana huruma. wakikukuta na kipigo bila kujali unahusika na tatizo au la!
 
Back
Top Bottom