Ni kosa Rais kuwakandamiza watanzania wanaohukumiwa nchi za kigeni

Urais siku hizi umekosa kabisa hadhi yake! Napinga matumizi na biashara ya drugs kwa nguvu zangu zote ila natatizwa na ujuaji, ukosefu wa busara na ubabe wa kauli za viongozi wetu. Kuna kauli ukiitoa hata ile maana halisi ya unachokipigania inaharibika.

Still our superior experiencing lack skills in public relations and communication also technical of know how, where, when and who!
 
Poor me... unadhani ukibambikiwa kesi unabambikiwa shitaka au ushahidi?
katika uzi wako tu hata hao walio kamatwa hawakupewa hukumu sababu uchunguzi umefanyika na ikabainika hawana hatia, na nauhakika mpaka ukapewe hukumu ya kunyongwa lazma watakua wamefanya uchunguzi wa uhakika na kukubaini wewe ni muhusika.
Hivyo tusipende kutetea mambo yalio kinyume na sheria
 
Mwaka jana serikali ya Marekani ilikiri na kuomba msamaha kwa kosa ililofanya kwa kutekeleza kimakosa adhabu ya kifo kwa watu wawili.
Rais Obama alikiri kwamba kitendo cha jeshi la Marekani kuishambulia Libya na hatimaye kumuua Rais wa nchi hiyo Muammar Gaddaf hakikuwa kitendo cha haki kwa sababu Gaddaf hakuhusika hata punje na makosa aliyotuhumiwa, kwa hiyo hakuwa na hatia.

Pia serikali ya Marekani ilikiri kwamba hukumu ya kifo iliyokuwa imetekelezwa miaka mitatu nyuma kwa mmarekani mmoja mweusi ilikua imefanywa kimakosa kwa sababu upelelezi ulithibitisha baadaye kwamba kijana yule hakuwa amehusika na mauaji ya watu wawili kama alivyoshtakiwa na hatimaye kuhukumiwa kunyongwa.

Matukio haya yamenipelekea niamini bila mashaka kwamba hata hao watanzania zaidi ya 1000 aliowasema Rais kwamba wamefungwa kwenye magereza ya nchi za nje si wote walio na hatia za kweli. Na kitendo cha kusema yeyote anayekamatwa na madawa ya kulevya hatamsaidia na akaomba wanyongwe ni kiburi tu cha mamlaka aliyonayo kinachompa nguvu ya kuyatamka yale.

Kwa tunaozijua tabia na misimamo ya hawa watu weupe kwa weusi watokao bara la Afrika tunajua kinachoendelea huko nje.

Nakumbuka miaka mitatu iliyopita tukiwa uwanja wa ndege wa Amsterdam ulikamatwa mkoba uliokuwa umetelekezwa kwenye ndege ukiwa na dawa za kulevya. Lakini cha ajabu katika abiria wote zaidi ya 230 tulioshuka ni abiria weusi tu wanane tulioshikiriwa na mamlaka ya uwanja wa ndege kwa ajili ya kuhojiwa. Tulihojiwa kwa siku sita na baada ya kukosa ushahidi wa kutosha tuliachiwa lakini wenzetu watatu wa nchi ya Ghana na Nigeria walishikiliwa na baadaye wakashtakiwa kwa makosa yaliyohusiana na hati zao za kusafiria lakini pamoja na kupatikana na madawa ya kulevya, mghana baadaye aliachiwa lakini wanaigeria wawili mmoja mwandishi wa habari walifungwa kifungo cha muda mrefu ingawa mwaka jana waliachiwa kwa rufaa baada kuonekana hawakuhusika na zile dawa.

Ni kwa maana hii namlaumu mheshimiwa Rais kwa kauli ile kwamba hatawaombea msamaha eti ni heri wanyongwe tu. Hii ni kitu mbaya sana kwa Rais wa nchi kutoa matamshi makali kiasi kile ya kuwatosa watu wake kwa namna ile wakati nchi nyingine pamoja na watu wao kukamatwa na dawa za kulevya ugenini huwawekea mawakili hadi dakika ya mwisho ili kuhakikisha mtu wao anatendewa haki. Kwa kweli hata sura tu za makamanda waliokuwa kwenye mkutano ule zilionyesha jinsi walivyoshtuliwa na tamko lile la Rais, kwa kweli liliudhi sana.
Raisi hana mmlaka ya kutoa hukumu ktk nchi za kigeni hao alosema wanyongwe sio watuhumiwa bali ni wale walopatikana na hatia na kwa mujibu wa sheria za nchi husika adhabu ni kunyogwa. Pole kwa hayo yaliyokukuta Amsterdam lakini usiwalaumu wazungu wa watu hayo ni matokeo profile exposure tuliyoitengeneza sisi wenyewe waafrika kwao hiyo ni kawaida mngekuwa waarabu wangewashuku ktk nyanja za ugaidi .
 
Acheni kumuonea Mkuu alichokisema kwa yle ambaye amekutwa na hatia kwenye nch ashughulikiwe hkohko acheni kuleta uchanganishi
 
Umesema kweli tupu ila kwanini hujashuku kuwa kauli ile imetoka makusudi ili kuwatia woga wale wote wanaojihusisha au wanaotaka kujihusisha na biashara hiyo? Kauli ni ngumu lakini inafaida kubwa kuliko hasara.
 
Lowassa ndie alisababisha SSM kukosa upembuz yakinifu ktk uteuzi wakajikuta wamemchagua wasiemjua sasa hivi wanajikaza kisabuni ila wanajua waliingia mkenge na nijuavyo mimi huyu jamaa atakipasua chama chao lakini pia ni mtu hatar ambae anaweza kuipasua nchi kwa matamko ya ajabu ajabu, hajui kama yeye ni nani na akitamka jambo lina impakti gani na gharama zake kwa mustakabali wa taifa lakini haya ni matokeo ya wivu na figisu na majungu ya mzee wa msoga dhidi ya gwiji la siasa la nchi hii Lowassa na kwa utabir wangu vita hii mzee wa msoga atanyoosha mikono mbele ya Lowassa na hapo ndipo safar mpya ya tz kuelekea mafanikio itaanza.
Acha kuingiza habari ya SSM na Lowassa wako kwenye mada yangu.
 
Muamar Gadafi alishakubali kuwekewa Vikwazo zaid ya Miaka 15 ikiwemo kutotumia usafiri wa Anga Ghadafi Mwenyewe kuliko kukabidhi tu Raia wake wawili wakashtakiwe ( sio kunyongwa) kwa kosa la kutungua Ndege kule Scotland 1988.

Alikuja kuwakabidhi kwa Makubaliano maalum baada ya wale Raia wenyewe kuomba wakabidhiwe huku Raia wengine wakipinga wasikabidhiwe wakakubaliana washtakiwe katika Nchi isiyo na Maslahi katika ile Kesi.

Mkwara ule ukisaidia kwani katika Mashtaka mmoja akaachiwa Huru na mmoja akahukumiwa Kifungo lakin bado Gadhafi kutokana na Uzalendo kwa Raia wake akapenyeza Rupia kwa Madaktari wa Umoja wa Ulaya wakatia report kuwa Yule Mfungwa kabakisha Siku 90 afe kutokana na Saratani hivyo wakashauri aachiwe huru arudi Tripoli

lakin mpaka Ghadafi anaondoka Jamaa hakuwa amekufa baada ya kuachiwa kutoka Gerezani!

'I wish I could be Citizen of Libya of Colonel Ghadafi '
Pointi tupu. Kama ni mtihani ungegonga 5.0 GPA
Umenikumbusha jambo la maana sana. Kanali Gaddaf alikubali Libya iwekewe vikwazo na walibya wale shida kuliko kuwatoa wananchi wake wawili wakashtakiwe Marekani ambako aliamini hawatatendewa haki.
Rais wetu anamzuia waziri wake wa mambo ya nje asiwatee ama kuwaombea msamaha watanzania wake, hii ni aibu.

Hivi mheshimiwa Rais kweli hajui jinsi waafrika wanavyoonewa huko nje na wanavyofungwa ovyo bila makosa.
 
Ni Makosa kisheria kusema this time Tumepata Mtu Mwenye Roho mbaya zaid kutuongoza Tangu Dunia Iumbwe! Hata Cal peters anasubiri
 
Inabidi Rais wetu aelewe pia kwamba jina la Tanzania juu ya dawa za kulevya huko nje halikuchafuliwa na watanzania, limechafuliwa na raia wa kigeni wanaopata na kusafiria hati za nchi yetu.
Kwa wale wanaosafiri safiri nje watakubaliana nami jinsi unavyoweza kukutana na mcameroon au mnigeria anamiliki hati ya Tanzania bila wasi wasi na akikamatwa anahesabika ni mtanzania.
Nafikiri mhe Rais atafute njia ya kurekebisha hali hii ya utoaji ovyo wa passport za nchi yetu.
Pili mhe Rais atafute jinsi ya kulainisha kauli yake ya kuruhusu watanzania waliohukumiwa kunyongwa kwa sababu kwanza, naamini atakuwa ametoa ruksa sasa kwa watanzania kuonewa huko nje kwa kubambikizwa kesi za dawa za kulevya ili tu mtanzania udhulumiwe, na kwa uwoga wetu tutakuwa tunasalenda mali zetu ili kujiokoa na rabsha hizo.
Subirini mjionee ndugu zangu haiko mbali.
 
Kuna kitu hakipo sawa kwa mkulu, yeye anafikiri ukikamatwa na kosa lolote basi tayari una hatia na unastahili kwenda jela, na huko jela unastahili kazi ngumu, hajui kwamba sio wote waliopo jela wana makosa
Mbona hawakuingia gesti ,,
Ma..ma..kila aendae jela ana hatia,tens hao waunga wanyongweee tuu,,,
MTU kaishi maisha yote akiunga unga Leo akamatwe China tu kizembe,,wacha wafe tuu ,,, sio kutafuta riziki Kwa kuuza unga tushawachoka,,,,I wish ningekua Anco Magu ,,
 
Huwezi kuwa na huruma na wanaokamatwa Nje kwa kuwa hujui hata Taratibu za Airport kuingia na kutoka tu.

Pengine ikiamriwa Mavi yako toka uzaliwe yakusanywe yote yatapatikana Tanzania Kama ni tofauti itakuwa ni Mikoa!
 
Mwaka jana serikali ya Marekani ilikiri na kuomba msamaha kwa kosa ililofanya kwa kutekeleza kimakosa adhabu ya kifo kwa watu wawili.
Rais Obama alikiri kwamba kitendo cha jeshi la Marekani kuishambulia Libya na hatimaye kumuua Rais wa nchi hiyo Muammar Gaddaf hakikuwa kitendo cha haki kwa sababu Gaddaf hakuhusika hata punje na makosa aliyotuhumiwa, kwa hiyo hakuwa na hatia.

Pia serikali ya Marekani ilikiri kwamba hukumu ya kifo iliyokuwa imetekelezwa miaka mitatu nyuma kwa mmarekani mmoja mweusi ilikua imefanywa kimakosa kwa sababu upelelezi ulithibitisha baadaye kwamba kijana yule hakuwa amehusika na mauaji ya watu wawili kama alivyoshtakiwa na hatimaye kuhukumiwa kunyongwa.

Matukio haya yamenipelekea niamini bila mashaka kwamba hata hao watanzania zaidi ya 1000 aliowasema Rais kwamba wamefungwa kwenye magereza ya nchi za nje si wote walio na hatia za kweli. Na kitendo cha kusema yeyote anayekamatwa na madawa ya kulevya hatamsaidia na akaomba wanyongwe ni kiburi tu cha mamlaka aliyonayo kinachompa nguvu ya kuyatamka yale.

Kwa tunaozijua tabia na misimamo ya hawa watu weupe kwa weusi watokao bara la Afrika tunajua kinachoendelea huko nje.

Nakumbuka miaka mitatu iliyopita tukiwa uwanja wa ndege wa Amsterdam ulikamatwa mkoba uliokuwa umetelekezwa kwenye ndege ukiwa na dawa za kulevya. Lakini cha ajabu katika abiria wote zaidi ya 230 tulioshuka ni abiria weusi tu wanane tulioshikiriwa na mamlaka ya uwanja wa ndege kwa ajili ya kuhojiwa. Tulihojiwa kwa siku sita na baada ya kukosa ushahidi wa kutosha tuliachiwa lakini wenzetu watatu wa nchi ya Ghana na Nigeria walishikiliwa na baadaye wakashtakiwa kwa makosa yaliyohusiana na hati zao za kusafiria lakini pamoja na kupatikana na madawa ya kulevya, mghana baadaye aliachiwa lakini wanaigeria wawili mmoja mwandishi wa habari walifungwa kifungo cha muda mrefu ingawa mwaka jana waliachiwa kwa rufaa baada kuonekana hawakuhusika na zile dawa.

Ni kwa maana hii namlaumu mheshimiwa Rais kwa kauli ile kwamba hatawaombea msamaha eti ni heri wanyongwe tu. Hii ni kitu mbaya sana kwa Rais wa nchi kutoa matamshi makali kiasi kile ya kuwatosa watu wake kwa namna ile wakati nchi nyingine pamoja na watu wao kukamatwa na dawa za kulevya ugenini huwawekea mawakili hadi dakika ya mwisho ili kuhakikisha mtu wao anatendewa haki. Kwa kweli hata sura tu za makamanda waliokuwa kwenye mkutano ule zilionyesha jinsi walivyoshtuliwa na tamko lile la Rais, kwa kweli liliudhi sana.
Ukirudi nyuma ukatafakari athari za madawa ya kulevya kwa taifa letu unaweza toa kauli kama alizotoa mheshimiwa Magu! Mie nilimsikia akisema waliohukumiwa kunyongwa...maana yake wamekutwa na hatia na wamepewa hukumu...yeye rais aliruhusu wanyongwe! Sasa kama wamehukumiwa hivyo sio kosa la rais kwa watz hao kukutwa na hatia ya madawa ya kulevya, kinachotupasa sasa ni kuwa makini zaidi ili tusijikute tumeingia ktk mazingira ya kukutwa na hatia ya madawa ya kulevya! Athari za madawa ya kulevya na vita yake sio ya kawaida na hivyo kupigana nayo lazima utumie njia zisizo za kawaida! Na wakati mwingine uwe na roho ya chuma!
 
Anawazungumzia wale waliokutwa na hatia tu sio mahabusu.
Je wewe binafsi na mheshimiwa Rais akiwa mkatoliki mnaamini hukumu aliyopewa Yesu Kristo mpaka kuambwa msalabani alikuwa ilikuwa ya haki?
 
Huwezi kuwa na huruma na wanaokamatwa Nje kwa kuwa hujui hcircumstance happ za Airport kuingia na kutoka tu.

Pengine ikiamriwa Mavi yako toka uzaliwe yakusanywe yote yatapatikana Tanzania Kama ni tofauti itakuwa ni Mikoa!
Ndo maana Mungu kaweka sikubya hukumu,,Unyama unyama tuu
Hata huko ulaya wanafungwa watu wenye hatia,,,Any circumstance happens u AR responsible for it,,So I don't fuckin feel sorry for anyone,,The world is not safe for weak people.
Kwa na huruma zako ma.ma.eee
 
Back
Top Bottom