Ni kifurushi gani cha UTT ni bora kwa June 2022

Kimla

JF-Expert Member
Jun 8, 2008
3,339
5,574
Ndugu wadau, wengi wamekuwa wakinishauri niwekeze akiba yangu UTT lakini hawanipi taarifa muhumu hasa kwenye gawio linalopatikana kwa vifurushi mbalimbali vya UTT. Ndo najiuliza kwa sasa June 2022, ni mfuko gani wa UTT unalipa gawio vizuri kuliko mwingune ,je ni liquid au bond au umoja? Bado nina 30 to 50 Million Tsh natafuta pa kuweka nikiwa najipanga kwa fursa mpya
 
Liquid Fund au ukwasi wanalipa vizuri sana
 
Hivi milioni 100 ukiamua kuifanyia biashara, mfano kununua mpunga na mahindi kipindi hiki halafu baada ya miezi sita ukauza...
Mkuu biashara sio maneno peke yake NI uzoefu, connection,bahati,juhudi, uvumilivu n.k......so Kama hujawahi fanya hio biashara NI Bora utulie uanze na mtaji mdg kwanza.business Zina mambo ya ajabu Sana
 
Back
Top Bottom