Ni kero ukikutana na wadada wa kuji-selfie

Viol

JF-Expert Member
Dec 15, 2009
25,426
18,232
Pengine mpo sehemu tena katikati ya watu wengi, kikao, lecture au sehemu ya utulivu, utamwona mdada anabinua binua mdomo anaji-selfie, mara ajichekeshe ajipige, Mara kama anajidekeza ili mradi apate pozi. Yaani kama upo naye lazima uone aibu mbele za watu (aibu naona mimi MO11).

Wengine hata sehemu ambayo unaona si sahihi kusimama au ni kama mnajichoresha utasikia, ''please shika simu yangu unipige picha". Ukipiga atakuambia rudia haijatoka, mara ooh nataka ya hivi anajizungusha ageuze nyuma, kero tupu.

Wadada muwe mnaangalia na sehemu za kujichekesha na selfie zenu.
 
Last edited by a moderator:
Hawa wanawake ni shida kila mahali alipo anataka apige picha hivi nina mpango wa kumnunulia nokia ya tochi atumie tukitoka
 
!
!
weka picha

Weka picha mkuu..

Tyta kuja huku kuna watu wanahitaji picha

105e8c4303b571cec7ce8343dd4a77d01d3746df9cbeb6711915e998385b4904.jpg
 
Back
Top Bottom