Ni Hao! Habari Wana JF!

Chinese boy

Member
Jun 16, 2009
10
0
Nimejaribu Pita Pita katika JF nakuipenda na ni matumaini yangu kuwa Wana JF Mtanilea vizuri!
你好!Nihao! -Habari!
我 wo-mimi
你 ni-Wewe
他/她 ta-yeye
他们 tamen-wao
爸爸 baba-baba
妈妈 mama-mama
哥哥 gege-kaka(mkubwa kuliko mimi)
弟弟 mdogo wangu wa kiume
姐姐 jiejie-dada(mkubwa kuliko mimi)
妹妹 meimei-dada(mdogo kulilko mimi)
老师 laoshi-mwalimu
孩子 haizi-mtoto
我爱你 wo ai ni-Ninakupenda(I love you)
再见 zaijian-Kwaheri
Cheers! By Chinese Boy.
 
angalieni asjie akawa feki huyo!! halafu nani atamlea? kaka/dada unabip watu humu
 
您好!欢迎。。Jambo Forum是最棒哦!
 
Nihao Chinese boy!.....karibu kijiweni.....tupe michango toka kwa HUI Jintao mkuu!
 
您好!欢迎。。Jambo Forum是最棒哦!
谢谢!xiexie!-Asante!
Kumbe kuna Chinese boys/girls wengine,Nashukuru Triplets kwa kunikaribisha.Nitajitahidi leta yale machache niliyo na uzoefu nayo na akina
Triplets watanisaidia katika hili!haha!
Kwa wasiojua Jambo Forum是最棒哦-JF shi zui bang oo-JF Ni kiboko yao!!
 
谢谢!xiexie!-Asante!
Kumbe kuna Chinese boys/girls wengine,Nashukuru Triplets kwa kunikaribisha.Nitajitahidi leta yale machache niliyo na uzoefu nayo na akina
Triplets watanisaidia katika hili!haha!
Kwa wasiojua Jambo Forum是最棒哦-JF shi zui bang oo-JF Ni kiboko yao!!

wewe kweli chinese boy, nakuaminia, maana unatransleti mpaka lafudhi!
endelea kukata ishu mkuu, triplets wamejaa tele kutoa msaada any time:)
 
Back
Top Bottom