GHIBUU
JF-Expert Member
- Jan 13, 2011
- 4,432
- 3,006
Na A.Salum,
Wanajeshi wa JWTZ wametembeza kipigo kwa kila mtu katika maeneo ya Jangonmbe .na kuendelea: eti madam wa mmoja wa wanajeshi hao ameibiwa kipochi.
Sasa tujiulize: kwanza tuna uhakika gani kama kipochi kimeibiwa (kipochi cha mke wa mfalme, mfalme wa Tanganyika anayeitawala Zanzibar).
Je, wanajeshi wanatakiwa kuchukua sheria mikononi mwao? na Isiwe chochote .
Je, ni watu wangapi wanaoibiwa vipochi, simu, pesa nk hapo Zanzibar; na hatujaona watu kupigwa au angalau kukamatwa na kufikishwa mbele ya sheria kwa sababu wanaoiba ni wenzao, na wanawaibia wazanzibari (haki yao kupata shida).
Mimi yote hayo hayakunishangaza, ni mambo ninayoyategemea sana kutukuta sisi wazanzibari- naweza kusema kutokana na udhaifuwetu tulionao.Pili, waziri wa ulinzi tuliyenaye, yeye pia kwa zanzibar ni mfalme, anafanya na kusema anavyotaka anathubutu kuisema kuwa hajiuzulu ngo kwa sababu hakuripua yeye mabomu! ya mbagala wala ngongo la mboto. yeye like father/like son wote mafia baba yake ni mafia wa kusali na kusalisha.
Lakini, je, ingalikuwa tukio hili aliyepigwa ni mtoto wa waziri au mheshimiwa yeyote (lakini anayetoka katika nasaba ya kifalme, tanganyika, ingalikuwaje). Mheshimiwa mzanzibari si chochote, si lolote kwa kuruta mmoja tu wa Tanganyika.
Ilivyo hasa, wanajeshi hawa watiwe adabu kw amujibu wa sheria zao court marshall. Lakini watapewa vyeo, maana wamepiga na hata kuuwa mzanzibari ni sawa.
Amiri jehsoi wetu Mkuu bwana JK yeye ni check bob tu: asafiri kwenda ivory coast na kurudi, na kutaka kujidai kusulusha kila kwenye tatizo wakati nyumba yake inanuka kama mzoga kw akila aina ya uchafu. Ah ! vizuri sana Tanzania dunia imewapa uso bado.
Mimi ingalikuwa ni Dgabo au Mugabe au yeyote nisengeliwez akukubali kusulishwa na JK.
Haya, nisije kuambiwa nina-mix mambo na mada. Mada yetu ni JWTZ kupiga watu/raia wasiokuwa na hati..kwa sababu mke wa mfalme ameibiwa kipochi. Unajua wanajeshi hawa moja ya kitu cha kwanza wanachofundishwa ni chuki dhidi ya zanzibar na wazanzibari. hakuna chengine.
Inashangaza sana na sisi wazanzibari hatujangamua chochote au namna ya kujitayarisha. tumefunikwa na mambo yasiyokuw ana maana tu kama mabadiliko ya katiba, au GNU au Zanzibar Mpya hizi ni fantasy tu. haziwezi kutufikisha pahala, zaidi zinatupozea malengo na fikra.
Hivi kweli TZ au Zanzibar inahitaji katiba mpya? Yaani kwa zanzibar, kwa sasa, kama utapinga katiba mpya wewe ni adui tu, kama ulivyokuwa unaohoji GNU/SUK au kuipiga CUF au CCM. Tunakwama kwa sababu hatuna national agenda.
Iwe iwavyo, JWTZ hawakufanya haki. Na Bado waziri wa ulinzi Dr.Hussein Mwinyi atasema hahusiki wala hajiuzulu. Baadaye anakuja mtu anasema TZ inaongoza kwa marks za utawala bora duniani? Dr.Hussein Mwinyi endelea kukalia kiti, na Mzee Mwinyi pia like father/like son wote mafia waliobobea.