Elections 2010 Ni fedheha na aibu kwa kijana yeyote wa leo kuwa mwana CCM: Haiwezekani

mabadilikosasa

JF-Expert Member
Dec 23, 2010
379
85
Nawashangaa sana mtu ambaye ni Kijana,mwenye kujua dunia ipo vipi leo ulimwengu wa ICT, ukawa ni mwanachama wa CCM!. Haiwezekana! ni aibu. siwezi kushanga saana maana pia wapo wanaoabudu shetani lakini dud......inatisha. Lakini CCM sii chama tena, ni genge la wezi na matapeli. tanzania ni Maskini kwa sababu ya CCM. tangu dunia iubwe tunaitwa maskini wakati wazungu wanatajirikia hapa kwetu? Wazungu maisha yao bora wanayapata Africa, tanzania ati. Hakuna mtu mdanganyifu duniani kama Kikwete (JK=Janga la Kitaifa). Jk ameharibu usalama wa taifa, wamebaki kupambana na upinzani badala ya kulinda na kuangalia maslahi ya Taifa?!!. kama vile rushwa na wizi. Hakuna watu hovyo duniani kama wana CCM.
 
cha kufanya sasa ni kuandaa namna ya kuizika ccm, hawana lolote la maana kwa watanzania, wanajichanganya na kila wanalofanya halifanyiki. Hii ni dadili nzuri ya siku za mwisho za ccm
 
Ukiwaangali wale wanaojiita pro ccm hutaumiza kichwa kuwaelimisha juu ya dunia na tz kwa ujumla ni an educated! Wengi wao ni wale waliosoma enzi za upungufu wa shule tz hivyo waliishia la 7 tu na ukibahatika kumuona angalau mwenye kaelimu basi ujue huyo anaishi kwa hisani ya ccm tu ila roho yake ipo kwenye uzarendo/cdm
 
Sahihi kabisa. I wish ningekuwa na uwezo kuwafunulia vjana wote TZ mambo ya Rwanda chini ya Presidaa Kagame baada ya genocide, pamoja na rasimali chache walizonazo nchi inachanja mbuga kimaendeleo ya uchumi ni hatari!!!!! hapa hakuna longolongo serikali inawajibika na yeyote anaekwenda tofauti (kukiuka maadili) anashughulikiwa mara moja na ipasavyo. Vjana tz wabadilike
 
Nawashangaa sana mtu ambaye ni Kijana,mwenye kujua dunia ipo vipi leo ulimwengu wa ICT, ukawa ni mwanachama wa CCM!. Haiwezekana! ni aibu. siwezi kushanga saana maana pia wapo wanaoabudu shetani lakini dud......inatisha. Lakini CCM sii chama tena, ni genge la wezi na matapeli. tanzania ni Maskini kwa sababu ya CCM. tangu dunia iubwe tunaitwa maskini wakati wazungu wanatajirikia hapa kwetu? Wazungu maisha yao bora wanayapata Africa, tanzania ati. Hakuna mtu mdanganyifu duniani kama Kikwete (JK=Janga la Kitaifa). Jk ameharibu usalama wa taifa, wamebaki kupambana na upinzani badala ya kulinda na kuangalia maslahi ya Taifa?!!. kama vile rushwa na wizi. Hakuna watu hovyo duniani kama wana CCM.
Google Image Result for http://synapses.co.za/uploads/2010/02/jesus-bird-e1266498517886.jpg
 
Back
Top Bottom