Ni dhihaka kwa Mungu kualika kwenye futari watu wenye uwezo waliokula milo mitatu

Bila bila

JF-Expert Member
Dec 20, 2016
21,498
37,792
Tujitahidi kusoma vitabu na kuelewa dhumuni là fungà na futru. Tunaweza kuwadanganyà binadamu lakini kamwe Mungu hadanganyiki. Zaidi tunachofanyà ni dhihàka kwake.

Tunaalika watu wa mlengo fulani (ubaguzi) lakini kikubwa zaidi tunaalika watu waliokula Milo 3 mchana na bado wanatutangazia wanakwenda kufutru? Mungu hapokei dhihàka tunazofanya na kuzibaliki, Bali tunajitengenezea laana Kwa kuandaa futari za kisiasa, kujipendekeza na kujionyesha.

Mwaka Jana niliona Wakuu wa mikoa, MaRPC, bàadhi ya Wakurugenzi tena wengi Wakristo wakiandaa walichokiita futari na kuita matajiri wa mikoa yao na viongozi wa chama tawala na mwisho kukawa na hotuba za wanasiasa + Mashehe.

Hizi ni dinner party msimtanie Mungu.
 
tatizo ni uislamu wa tanzagiza, wengi waislamu wa tanzagiza hawauelewi uislamu wenyewe na falsafa yake ndiyo maana wwnafanya mambo ya ajabu ajabu, uislamu kama dini nyingine unafundisha humility, humility ndiyo msingi wa dini karibia zote na siyo ulafi na kujionyesha kujikweza kila mahali kama hawa wa tanzagiza.
 
Tujitahidi kusoma vitabu na kuelewa dhumuni là fungà na futru. Tunaweza kuwadanganyà binadamu lakini kamwe Mungu hadanganyiki. Zaidi tunachofanyà ni dhihàka kwake.

Tunaalika watu wa mlengo fulani (ubaguzi) lakini kikubwa zaidi tunaalika watu waliokula Milo 3 mchana na bado wanatutangazia wanakwenda kufutru? Mungu hapokei dhihàka tunazofanya na kuzibaliki, Bali tunajitengenezea laana Kwa kuandaa futari za kisiasa, kujipendekeza na kujionyesha.

Mwaka Jana niliona Wakuu wa mikoa, MaRPC, bàadhi ya Wakurugenzi tena wengi Wakristo wakiandaa walichokiita futari na kuita matajiri wa mikoa yao na viongozi wa chama tawala na mwisho kukawa na hotuba za wanasiasa + Mashehe.

Hizi ni dinner party msimtanie Mungu.
wengine wakikosea na kukosa baraka kwa hukumu yako basi wew fanya vizuri na vema zaidi ili upate baraka nyingi zaidi 🐒

ya nini kubabaika na kibanzi kwenye jicho la ndugu yako, si upambane na boriti ndani ya jicho lako mwenyewe bas🐒
 
Tujitahidi kusoma vitabu na kuelewa dhumuni là fungà na futru. Tunaweza kuwadanganyà binadamu lakini kamwe Mungu hadanganyiki. Zaidi tunachofanyà ni dhihàka kwake.

Tunaalika watu wa mlengo fulani (ubaguzi) lakini kikubwa zaidi tunaalika watu waliokula Milo 3 mchana na bado wanatutangazia wanakwenda kufutru? Mungu hapokei dhihàka tunazofanya na kuzibaliki, Bali tunajitengenezea laana Kwa kuandaa futari za kisiasa, kujipendekeza na kujionyesha.

Mwaka Jana niliona Wakuu wa mikoa, MaRPC, bàadhi ya Wakurugenzi tena wengi Wakristo wakiandaa walichokiita futari na kuita matajiri wa mikoa yao na viongozi wa chama tawala na mwisho kukawa na hotuba za wanasiasa + Mashehe.

Hizi ni dinner party msimtanie Mungu.
unaumia ukiwa wapi sheikh?😅😅😅😅
 
Wafia dini mna zambi yenu ya ubaguzi.
 
Back
Top Bottom