Ni biashara gani ambayo huelewi faida wanapata vipi?

Japo mwenyewe nafanya biashara ya uwakala lakini sioni faida najiuliza wenzangu wanapataje faida vicommission vidogo dogo sijui sh 20, 30... kodi ya frame 150,000/= × 6 unategemea itarudi vipi?
Kuna wanao Pata commission hadi M kwenye till moja tu... Kikubwa mtaji na mzunguko wa biashara... Kama mteja akitaka kutoa M2, 3..... Huna utapataje commission ya M??
 
Navojua mie JF ni NGO (non profit organisation). It's not a company. Kwahiyo ikiwa ni NGO, inajiendesha kwa pesa za Donors. Ikishakuwa NGO, haitakiwi kujiendesha kama kampuni ya kujipatia faida. Ndio maana huoni hata matangazo humu wakati wana uwezo wa kuweka matangazo makubwa na kutengeneza pesa ya uhakika kabisa.

Sema JF ina jina kubwa, kwahiyo kupata Donors wa uhakika ni jambo la kawaida tu.

Kingine, NGOs hupata fedha za kujiendesha kupitia kuandika projects mbalimbali then zinakuwa funded.
Bila kusahau na wanasiasa nahisi huwa Wana contribute indirectly or direct way
 
Back
Top Bottom