Nyambiza jr
JF-Expert Member
- Oct 5, 2018
- 1,030
- 1,825
Habari wanaJf, nataka kufungua akaunti nilishawahi kuwa na akaunti Stanbic na NBC hizi zilikua ni kwa ajili ya kupokelea mishahara na niliachaga kutumia baada ya kuacha kazi.
Sasa nataka kufungua akaunti Je, ni Benki gani ambayo ina vigezo km ifuatavyo
Makato madogo,
Upatikanaji wa ATM na zenye hela muda wote,
Huduma nzuri kwa wateja (customer care) nk
Sasa nataka kufungua akaunti Je, ni Benki gani ambayo ina vigezo km ifuatavyo
Makato madogo,
Upatikanaji wa ATM na zenye hela muda wote,
Huduma nzuri kwa wateja (customer care) nk