HANGAYA THE CHIEF
JF-Expert Member
- Sep 10, 2021
- 329
- 947
Nimefuatilia siku hizi mbili tatu za sakata la uuzwaji wa bandari ya tanganyika, kwa waarabu wa dubai, kazi wanayoifanya waandishi wa habari ni ya kipuuzi sana, ni bora wangechagua kukaa kimya kuliko kupotosha habari.
Kiufupi dunia imebadilika sana na watu wanachagua source ya kuwabarisha, poleni sana waandishi mnakubali kuisaliti taaluma yenu kwa vipande thelathini vya fedha, ni aibu yenu na aibu ya taaluma yenu, kwa maisha yenu yote.
Mmeingia kwenye historia ya ajabu sana.