johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 85,953
- 146,159
Nimeshangaa chama kikubwa kama Chadema kinashindwaje kulipa mishahara ya watumishi wake!!
Yaani pamoja na miradi yote waliyonayo Chadema pamoja na Ada za wanachama bado hamuwezi kulipa mishahara?
Ruzuku haitolewi maalumu kwa ajili ya mishahara bali kusaidia ujenzi wa chama na hasa kueneza itikadi yake nchi nzima mijini na vijijini hadi kule migodini na migombani.
Chadema walipeni wafanyakazi mishahara yao kabla Naibu waziri Patrobas Katambi hajawashukia kama mwewe.
Ijumaa kareem!