Nhif ajira ajira

Skyblue

Senior Member
Jan 3, 2014
195
54
Jamani vipi kuhusu tangazo la kazi NHIF ambalomwisho wake ilikuwa dec 27 washaanza kuita? kwa wanaojua nijuzeni jamani. Nawasirisha
 
Hizo sio leo hadi mwezi wa sita na mtaitwa woteeee mlioapply ndio utaratibu wao ondoa shaka ukishafanya written kama hauna kimemo sahau kupata kazi Nhif HATA KAMA UNAUJUZI WA AINA GANI.
 
Kijana ya kweli hayo?maana mie pia nasikilizia sasa unaposema hadi June nakuwa kama sikusomi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom