nguvu ya umma ni kiboko

engmtolera

JF-Expert Member
Oct 21, 2010
5,150
1,437
huyu mama anakataa kuwapakiza majeruhi waliopata ajari jijini Dsm tarehe 1 june
ukimwangalia vizuri huyo mama anamwonyesha askari saa kuwa anawahi,lakini nguvu ya umma kutoka tabata imelazimisha kupakia majeruhi wawili na mama kulazimishwa na nguvu ya umma kuendesha gari kuelekea hospitali

kweli nguvu ya umma ni kiboko



by michuzi
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom