Nguvu ya umma itumike kuchukua TBC mikononi mwa Mafisadi

STEIN

JF-Expert Member
Aug 29, 2010
1,770
553
Ndugu Wananchi,

Najisikia vibaya sana kuona chombo cha habari kinancho tumia kodi ya wananchi wa Tanzania kikifanya kazi kwa maslahi ya mafisadi wa CCM. Najisikia vibaya kuona mchakato wa kutafuta Katiba ya wananchi unafanyika huku TBC inafanya mambo ya ajabu badala kurusha moja kwa moja mchakato huo live kutoka dodoma na daresalaam lakini yanatokea mambo mengine kabisa na hii inaashiria kuwa vyombo hivi hufanya kazi ya CCM na mafisadi wa nchi hii.

Sasa kama TBC inaweza kufanya live coverage ya mkutano CCM, kuteua wagombea, kuadhimisha miaka 30 inashindwa nini kurusha moja kwa moja mkutano wa kujadili katiba ya wananchi? Hii ni point nyingine ambayo vijana tunatakiwa kuitumia katika harakati za kuikomboa nchi yetu.

Siamini kama TBC ilishindwa kwa sababu zozote zile nadhani wanashindwa kuelewa waTZ wa mwaka 2010/11 si wale wa miaka ya nyuma, wanasahau kuwa kitndo cha kina RA, EA, Chenge na wengine kuitumia TBC kujisafisha huku ikishindwa kurusha live mambo ya msingi kwa wananchi ni kusogeza moto karibu na pipa la petroli.

Asubuhi nilikuwa naangalia StarTV, katika mazingira ya ajabu wakakatiza na kudai wangerusha baadae kitu ambacho ni uongo kabisa.

Mimi naamini ipo siku tutaikomboa nchi hii, hakuna kitu kibaya kama kuwazuia wananchi uhuru wa kutoa habari, siku za hawa jamaa zinahesabika na wataikimbia nchi.

CCM na viongozi wake pamoja na baadhi ya wanachama ambao wana maslahi binafsi hawataki kabisa chi hii ipige hatua sasa tumesha anza hakuna kurudi nyuma hata kidogo.

Peoples power,
 
Kwa sababu zilizo ndani ya uwezo wa Mafisadi TV zote za bongo hazitaweza kurusha matangazo ya kutoa maoni juu ya muswada wa katiba mpya. Asanteni
 
baada ya kufanya uchakachuaji utaona wengi wamepitisha mswada huo.
Keep watching
 
Kwa sababu zilizo ndani ya uwezo wa Mafisadi TV zote za bongo hazitaweza kurusha matangazo ya kutoa maoni juu ya muswada wa katiba mpya. Asanteni

Kama nimutundu naulishafunga dishi unapata nitafute.mufiyakicheko@yahoo.com kwamaelekozo zaidi
 
Inakera sana kwa umma kukosa kuona na kufuatilia mkutano wa leo ambao kiuhakika ni suala la msingi kwa ustawi wa umma. TBC ni chombo cha umma na wala si cha serikali, kuna tofauti kubwa sana. Serikali inaongozwa na ccm lakini umma ni watanzania wote bila kujali itikadi au taja chochote.

Katiba ni muafaka wa umma, TBC wameshindwa kazi yao na kubaki kuwa mdomo wa serikali badala ya kuwawakilisha umma wa watz. Kuhusu *tv, existence ya private organization and the like depends mainly on the will of the people/public ie they sometimes cease to be private in some way and becomes public.
chombo hiki kinatafuta faida, ndiyo, lakini ni lazima kiutumikie umma kwani ndiyo sheria inavyotaka, TBC wanakera:disapointed:
 
Nina hasira,huzuni,maumivu.........sidhani kama nitachangia hii mada kwa usalama bila kutoa kauli kali...Mungu nipe uvumilivu....
 
Mimi naona huu ndo muda wa kutimba pale TBC tuwape darasa juu ya matumizi ya chombo cha UMMA ....wakigoma wajiandae kuingia gharama
 
Ndugu Wananchi,

Najisikia vibaya sana kuona chombo cha habari kinancho tumia kodi ya wananchi wa Tanzania kikifanya kazi kwa maslahi ya mafisadi wa CCM. Najisikia vibaya kuona mchakato wa kutafuta Katiba ya wananchi unafanyika huku TBC inafanya mambo ya ajabu badala kurusha moja kwa moja mchakato huo live kutoka dodoma na daresalaam lakini yanatokea mambo mengine kabisa na hii inaashiria kuwa vyombo hivi hufanya kazi ya CCM na mafisadi wa nchi hii.

Sasa kama TBC inaweza kufanya live coverage ya mkutano CCM, kuteua wagombea, kuadhimisha miaka 30 inashindwa nini kurusha moja kwa moja mkutano wa kujadili katiba ya wananchi? Hii ni point nyingine ambayo vijana tunatakiwa kuitumia katika harakati za kuikomboa nchi yetu.

Siamini kama TBC ilishindwa kwa sababu zozote zile nadhani wanashindwa kuelewa waTZ wa mwaka 2010/11 si wale wa miaka ya nyuma, wanasahau kuwa kitndo cha kina RA, EA, Chenge na wengine kuitumia TBC kujisafisha huku ikishindwa kurusha live mambo ya msingi kwa wananchi ni kusogeza moto karibu na pipa la petroli.

Asubuhi nilikuwa naangalia StarTV, katika mazingira ya ajabu wakakatiza na kudai wangerusha baadae kitu ambacho ni uongo kabisa.

Mimi naamini ipo siku tutaikomboa nchi hii, hakuna kitu kibaya kama kuwazuia wananchi uhuru wa kutoa habari, siku za hawa jamaa zinahesabika na wataikimbia nchi.

CCM na viongozi wake pamoja na baadhi ya wanachama ambao wana maslahi binafsi hawataki kabisa chi hii ipige hatua sasa tumesha anza hakuna kurudi nyuma hata kidogo.

Peoples power,

Mkuu lisikuumize kichwa mwisho wao umefika, tunaanza nao jmamosi pale UDOM tutakapokuwa tunafungua tawi la chadema, kisha nchi nzima watu wagome kuiangalia na kuisikiliza radio
 
Yaani hii tv stesheni inakera sana, tulitegemea wataendana na kauli yao ya ukweli na uhakika, lakini imekuwa tofauti!
 
Let 'Ukweli na uhakika'Slogan be 'ubabaishaji wa uhakika' Hawa jamaa wanaboa kweli tokea wamuondoe TIDO MHANDO ndiyo haswaaaa kila kitu ovyo kabisa.Wanaboa sana hawa jamaa.
 
kwani wanajamii hamjui tokea aondoke TIDO hivi TV inaenmdeshwa na wizara maamuzi mengi nini nkionyeshwe na nini kisionyeshwe yanatoka wizarani.wanataka kukaba kila sehemu hawa tunasema 2015 ni mbali sana wasubiri wameipata habari yao dodoma na karimjee tunakwenda sasa mwendo mdundo hapa
 
Ninaomba wanaharakati na wanasheria mnisaidie siku 14 toka leo tar 7 nakwenda mahakamani kufungua kesi juu ya chombo cha umma kutunyima fulsa muhimu yakupata habari muhimu za kitaifa badala yake kutuonyeshea mabonanza na kichen part!! Nipo siriaz waungwana kwa juma ijuma ya kesho nawalima barua yaonyo kisha tukuta kwa pilato! Washenzzz kabisa hawa minalipa kodi kila mwezi inaniuma sanaa waungwana!!
 
tbc kwa sasa ni miongon mwa kero za Taifa, wanakera sana hawa. Nipo pamoja nawe
 
Daahh wadau nilifikiri nakereka mim tu kumbe tupo wengi sana, mimi binafsi napata shida sana unakuta kipindi kinaendeshwa maada inkuwa na watu/mtu wa mlengo mmoja. Zamani enzi za Tido tulizoea wakiwaweka watu wa maana, mfano jambo tanzania anakuwepo Dr wa ukweli na mambumbu wa CCM. Kwa sasa unakuta either anawekwa mtu mmoja au anawekwa mmoja wa CCM na mwingune wa NCCR/CUF wote hawa wako emty kabisa wameshalewa pombe za CCM. Huwa natamani nibomoe TV mwisho wa siku nkumbuka nitakula hasara mwenyewe. some time huwa nafikiri ningekuwa na bastola ambayo ukipiga screen unawapiga watngazaji da ningukuwa na raha sana kwani mafisadi wote ningeua kwa style ya Lap top suicide. Mimi naunga mkono kabisa mkuu hoja ya kuivamia Tv hii ili watu waendeshe matukio ya kijamii. au tukishindwa tufanye hivi popote wanapokuwepo waandishi wa TBC tunawapa kichapo na kuwanyang'anya makamera yao au tutakuwa tunawaonea! Nina hasira sana.
 
Back
Top Bottom