Nguvu ya Mwinyi ama ya Nyerere?

steering

Member
Nov 28, 2011
71
12
Inasemekana kwamba Nyerere alikubali Mwinyi kuwa Rais ili mambo yake yaendelee kutekelezeka...ndiyo maana maamuzi mengi ya Mwinyi yanazua utata kama ni yeye alikuwa akiamua kama Rais ama Nyerere...kwa headline hii ya mwaka 1990 ya Daily News, je, zilikuwa nguvu za Mwinyi?

ilitokea.jpg
 
Back
Top Bottom