Nguvu na uwezo alionao Malkia Elizabeth

Lakini ana ruhusu wanawake wote wajawazito UK kujisaidia eneo lolote bila kubuguziwa Iwe polisi au ikulu/mahakamani
 
1. Haitaji leseni ya gari, huendesha bila leseni

2.Husafiri bila passport nje ya nchi

3.Huwa anasherehekea siku ya kuzaliwa mara mbili, ile ya kweli 21 april na jumamosi ya jully

4. Ana mtunga mashairi wake maalumu.

5.Ana ATM mashine yake binafsi ya kutoa ela

6.Bila ruhusa yake hakuna muswada utapitishwa kuwa sheria

7. Ana uwezo wa kutolipa kodi

8.Ana uwezo wa kumuonya waziri yoyote, na hata kumwajibisha

9. Ni malkia wa Australia pia

10. Ukiacha ukuu wake katika UK na Australia pia anaongoza nchi zifuatazo Antigua and Barbuda, the Bahamas, Barbados, Belize, Canada, Grenada, Jamaica, New Zealand, Papua New Guinea, Saint Kitts and Nevis, Saint Lucia, Saint Vincent and the Grenadines, Solomon Islands, na Tuvalu.

11.Ni mwenyekiti wa kanisa la Anglikana

12. Ana uwezo wa kuivunja serikali ya Australia

13. Anakinga ya kutoshitakiwa

14. Anamiliki ndege aina ya swans, kongoro katika mto thames

15. Anauwezo wa kumteuwa spika kwa amri yake
Kwani anasherekea Mara mbili siku ya kuzaliwa
 
Halaf tukifa wote eti Mungu atuchome moto sawa na malkia Elizabeth,aiseeee!!!nitashangaaaaa
Huo no ubwege hayo no mamlaka mbayo hata ww unaweza kujipa kwa kigezo cha kumiliki kundi la wajinga flank alafu kwa mungu hakuna staff hilo ulitambu kwanza sio general ni kwa wapuuzi wengine tu mbali na hapo

Atakufa
Anaugua magonjwa kama wengine
Anaenda chooni kama wengine
Anavuta oxygen hii hii kama unayovuta ww
Ni binadam kama we tofauti rangi
Labda alichokuzidi ana dhambi nyingi sana huyo mama atakua kuni Sikh ya kiama
 
Umejuaje kwamba ana dhambi?!! Usihukumu ......... Wewe siyo Mungu!!!!
 
Kwa wasioelewa hizo zinaitwa " PREROGATIVE POWERS'' ambazo hata Tanzania kwa kuwa tilirithi legal system ya huko tunazo kwenye katiba angalau kwa uchache na ndizo hizo watu wasioelewa wanapiga kelele eti ....!!! power za Raisi zipunguzwe. kutakuwa na umuhimu heshima , na woga kwa raisi akiwa hana power za ziada tofauti na raia au viongozi wengine? Raisi ni symbol ya umoja, nguvu na mamlaka kwa watu wake, ni nabiii wa kutoa mwongozo sahihi kwa watu wake na ni alama ya kitisho kwa maadui wa nchi hivyo anatakiwa awe na nguvu za ziada.
Nimekuelewa saaaana rafiki.
 
1. Haitaji leseni ya gari, huendesha bila leseni

2.Husafiri bila passport nje ya nchi

3.Huwa anasherehekea siku ya kuzaliwa mara mbili, ile ya kweli 21 april na jumamosi ya jully

4. Ana mtunga mashairi wake maalumu.

5.Ana ATM mashine yake binafsi ya kutoa ela

6.Bila ruhusa yake hakuna muswada utapitishwa kuwa sheria

7. Ana uwezo wa kutolipa kodi

8.Ana uwezo wa kumuonya waziri yoyote, na hata kumwajibisha

9. Ni malkia wa Australia pia

10. Ukiacha ukuu wake katika UK na Australia pia anaongoza nchi zifuatazo Antigua and Barbuda, the Bahamas, Barbados, Belize, Canada, Grenada, Jamaica, New Zealand, Papua New Guinea, Saint Kitts and Nevis, Saint Lucia, Saint Vincent and the Grenadines, Solomon Islands, na Tuvalu.

11.Ni mwenyekiti wa kanisa la Anglikana

12. Ana uwezo wa kuivunja serikali ya Australia

13. Anakinga ya kutoshitakiwa

14. Anamiliki ndege aina ya swans, kongoro katika mto thames

15. Anauwezo wa kumteuwa spika kwa amri yake
Lakini baada ya yote atakufa kama sisi tu
 
Hahahah....very interesting. imebidi nikumbuke hayati Iddi Amin alivyolazimisha lazima Queen aje uganda kumwomba msamaha! Dah, Iddi Amin hakumwogopa mtu yeyote....and that is the characteristics of real men!
Haha looh,naomba udadavue ilikuwaje mkuu
 
Si wezi kuishi chini ya utwala wa kike aliyetolewa ubavuni kwangu na kumkaribisha kwenye bustani yangu ya edani na kunirubuni tule tunda na matokeo yake.
 
Back
Top Bottom