NGONO: Kivutio kingine cha utalii nchini Tanzania

Kwa mujibu wa dira ya dunia-bbc, watalii wengi (wanawake) wamekuwa wakifika hapa nchini kwa ajili ya kuwanasa vijana wa kiume ili wafanye nao ngono. Tofauti na ilivyozoeleka kwa watalii hao kufika hapa nchini ili kutembelea vivutio kama mlima kilimanjaro na mbuga za wanyama sasa idadi kubwa ya wanawake kutoka ulaya hufika kwa ajili ya utalii wa ngono.

weka picha
 
Kwa mujibu wa dira ya dunia-bbc, watalii wengi (wanawake) wamekuwa wakifika hapa nchini kwa ajili ya kuwanasa vijana wa kiume ili wafanye nao ngono.

Tofauti na ilivyozoeleka kwa watalii hao kufika hapa nchini ili kutembelea vivutio kama mlima Kilimanjaro na mbuga za wanyama sasa idadi kubwa ya wanawake kutoka ulaya hufika kwa ajili ya utalii wa ngono.

Hiyo nayo nifursa kwa vjana wa Tz,tuchangamke.
 
It seems our young boys are strong enough to give foreigners wat they need. Viva young boys from Tanzania.
 
Siyo Rasi tu pia awe mweusi mrefu haipit nusu saa atakuwa keshaopoa zungu, ARACHUGA SIYO MCHEZO bro
 
Sasa kuhusu UKIMWI ni yaje kwani jana wakati wanakuwa interviewed walisema hawatumii kondomu. Wakati huo walikuwa Zenj wamevaa tu vibikini. Nahisi tindikali haitaisha.

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom