Dawa ya ngiri ni nini?

Karao

JF-Expert Member
Apr 25, 2011
1,053
580
Wajemenii humu ndani,

Je, ni dawa gani ya mzizi naweza kuitumia nipone ngiri?
 
wajemenii humu ndani , je ni dawa gani ya mzizi naweza kuitumia nipone ngiri?
Huwa hapa JF Doctor napita mara chache sana, niPM au nipigie nikuelekeze kama upo hapa Dar utaenda kwa Dr. Magesa yupo TMK na utapona kabisa kabisa bila kufanyiwa operation, itabakia historia, Dr. ana clinic yake na anatibu hata fungus za tumboni ambao ni tatizo sugu hasa kwa wanawake, take from me ni bingwa wa magonjwa haya kwa miti shamba. Ni pm for details
 
wajemenii humu ndani , je ni dawa gani ya mzizi naweza kuitumia nipone ngiri?
Ngiri Kwa ushauri wangu mimi nenda hospitali kafanyiwe uchunguzi na ikiwezekana fanya Oparesheni ya Ngiri. Ngiri zipo za aina mbili moja ya chini ya tumbo ya ndani na moja ni ya Mshipa kushuka yaani mapumbu 2 kujaa maji kwa lugha ya kipwani (Mwinyi) nakushauri bora ukafanyiwe Oparesheni kuliko kutumia Dawa za kienyeji zinatuliza tu Dawa kubwa ya ngiri ni upasuaji tu wa Hospitalini.

 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom