Ngeleja sisi sio wajinga

kichomiz

JF-Expert Member
Feb 28, 2011
19,012
11,944
Kwa hili la kutopata umeme kwa muda wa miezi 4 nonstop,UMEGUSA PABAYA hivi ni kutudharau walipa kodi au bado mnachukulia kwamba watanzania wote ni wajinga?hivi mnazijua SHIDA tunazopata watu wa hali ya chini? Au mmeamua kuturudisha kwenye zama za MAWE? % 90 tunategemea umeme kwa kuendeshea shughuli zetu,JE HII MIEZI 4 TUHAMIE KWAKO ?msifikiri kwa kuwa mko juu hatuwezi kuwafanya chochote,cha kuwafanya tunacho nyie wanyonyaji wakubwa,sasa msilete huo umeme komaeni na %10 mlioizoea,wakati huo na sisi TUNACHEMSHA MAJI YA KUNYONYOLEA soon kazi itaanza, NI BORA MUONDOKE WENYEWE maana kimya chetu cha muda mrefu KISHINDO chake kitakuwa kikubwa mno. ZIBENI UFA MSIJE KUJENGA UKUTA, nimemaliza.
 
hali ilipofikia ni bora tuingi barabarani wakatuue hukohuko na risasi zao,kuliko kufa tunajiona huku wao wanafaidi nchi yetu...
 
Nchi ya wazungumzaji,watanzania ni waongeaji hodari sana ila ni wa mwisho kwenye kutenda

mie sioni haja ya thread za hivi tena make tokea ziwepo hazileti hata maana ni sawa na mbwa asiye na meno,kama tunaingia mtaani kesho tuambizane ama kupitia magazeti,ama kupitia Tv,radio,simu n.k ili tufanye actions,huu ni mda wa actions,watanzania tuachane na kulialia,tufanye matendo,come on!
 
Ngeleja! unachotakiwa ni kuchapa kazi, usgukuru na budgeti yako imepitishwa kisanii tu! Hali ya mgao wa umeme imezidi marambili zaidi kabla ya kupitisha budget ya wizara yako, Swali ni kwamba kabla ya budget kupita umeme ulipatikana wapi na sasahivi umekosekana vipi??????????????? Jamani achane utendaji wa kubabaisha dunia ya sasa sio ya 1961
 
Nchi ya wazungumzaji,watanzania ni waongeaji hodari sana ila ni wa mwisho kwenye kutenda<br />
<br />
mie sioni haja ya thread za hivi tena make tokea ziwepo hazileti hata maana ni sawa na mbwa asiye na meno,kama tunaingia mtaani kesho tuambizane ama kupitia magazeti,ama kupitia Tv,radio,simu n.k ili tufanye actions,huu ni mda wa actions,watanzania tuachane na kulialia,tufanye matendo,come on!
<br />
<br />
Mkuu TUNACHEMSHA MAJI YA KUNYONYOLEA hapa hakuna woga kazi lazima ifanyike Stay Tuned.
 
Back
Top Bottom