ng'e na **** ungechagua kipi?

nziriye

JF-Expert Member
Jan 23, 2011
1,050
361
umetoka outing kwenda beach na mupenzi wako siku ya valentine,ukaamua kwenda kuogelea na chupi tu,sasa wakati umemaliza kuoga upo katika mchanga wa baharini akatokea nge mwenye sumu ambayo akikung'ata tu ni sekunde 30 kama hujamtoa unakufa ,yule mdudu akakung'ata ,ukawa unainama ili umtoe haraka haraka ,ile kuinama tu kuna kichaa akaja akakudandia na kuanza kukuingilia kinyume na maumbile,utafanya nini?utaendelea kumtoa nge au uta-deal na huyo kichaa anayeji-sevia.
 
Nitampiga kipepsi huyo kichaa huku mkono mwingine namtoa nge.

Jamani utakuwa faster hvyo mana nadhani maumivu yake ,haya bwana ila utakuwa umejiepusha kuwa aunt kirumonjeta ,teh teh teh teh teh teh ,gud bwana
 
umetoka outing kwenda beach na mupenzi wako siku ya valentine,ukaamua kwenda kuogelea na chupi tu,sasa wakati umemaliza kuoga upo katika mchanga wa baharini akatokea nge mwenye sumu ambayo akikung'ata tu ni sekunde 30 kama hujamtoa unakufa ,yule mdudu akakung'ata ,ukawa unainama ili umtoe haraka haraka ,ile kuinama tu kuna kichaa akaja akakudandia na kuanza kukuingilia kinyume na maumbile,utafanya nini?utaendelea kumtoa nge au uta-deal na huyo kichaa anayeji-sevia.

Kwa mwendo huu naona wewe mtoa mada ungefirika! Mambo mengine bwana hapa si mahali pake
 
Wakati taifa likiwa njia panda bila kujua wapi tunaenda wewe unakuja na upumbavu wako?peleka huko sio hapa,nonesense
 
kuna watu wanapenda kulawitiwa basi kukiwasha wanaleta vitu vya ajabu humu:laugh:
 
Wajameni mbna mnakurupuka ,nadhani ni jukwaa husika na wote lililo-watouch labda ni mashosti washapindishwa mgongo wakijidai wanatoa nge,sory kwa kuwaibua.
 
Acha upumbavu humu ndani. Unaleta za kitoto toto. Potea

Wewe una akili kweli ,kama ungependa mambo ya kijamii hujui uelekee jukwaa gani ,doh eti na wewe unajiita great thinker ,umepotea wala hupaswi kuwa hapa ,lol?
 
mvumilieni wakati tukisubiri kuzinduliwa kwa jukwaa la watoto :car:

haya bwana unajidai great thinker ukaamua kuweka kijigari cha kitoto,nadhanh una ndoto za kumiliki gari,okey omba tu huku ukifanya juhudi usiwe na ndoto ya alinacha
 
Wakati taifa likiwa njia panda bila kujua wapi tunaenda wewe unakuja na upumbavu wako?peleka huko sio hapa,nonesense

eti unajiita mpamcnaji na nani na mkeo au?yani unajidai eti nchi ipo njia panda haijui inaenda wapi,nchi inajua yaenda wapi labda wewe kichwa maji ndo hujui unaenda wapi,shame on you,ungependa mambo ya maendeleo ya taifa ungeenda jukwaa husika na ndo mana hii thread nikatupia huku,kama ungeona haina mana ungeisoma na kuipotezea sio kujibu jibu.
 
its my hope kuwa wote ambao tupo ktk forum hii tukiwa na akili zetu timamu,hakuna aliyeletwa huku na mtu mwingne akiwa hajui kipi anapaswa kufanya humu ndani,na hata walioanzisha jamii forum takribani miaka 5 iliyopita walijua hl hvyo wakbmua kuweka majukwaa mengi ya elimu,hoja na mambo mbalimbali,michezo ,siasa n.k,halafu hawajaweka sheria kama umesoma topic ya mtu hujaipenda huna haja ya kuijibu na ndo mana kuna topic zina 0 contribution,kwa wale waliokerwa na hii topic yangu nawambia wawe wanapenda kwenda ktk maeneo husika na kutoa hoja husika kama haujiskii inakubidi ukae kimya na familia yako,otherwise siwezi kuwa adui kwa kusema ukweli.
 
Jamani hebu muacheni huyu jamaa na mawazo yake mbona mnataka kumtoa roho, inawezekana pia imemtokea na anajaribu kulinganisha mawazo yake na wanajamii pia
 
Back
Top Bottom