Ngarenaro ni kubwa kuliko Arusha

Tape measure

JF-Expert Member
Nov 26, 2015
1,972
3,511
Jamii forum ni zaidi ya Chuo, ama, Tanzania House of Talent (THT). Ni ukweli mtupu kuwa kuna wanaopata maarifa, ujuzi, ushauri, burudani, pundee tuu waingiapo kwa huu mtandao pendwa jf. Huwa nawaza sana members wote jf wangekua na akili angavu utamu wa jukwaa ungepungua. Ndio sababu title haifanani na content.

Naipenda jf sana. Natamani title ya huu uzi ingekua THREADLESS/TITLELESS/POINTLESS/PUMBALESS

Variation in terms of individual difference is of great importance and should be appreciated. Ndi ndii ndiii
 
umenikumbusha mbali, nikifika arusha breki ya kwanza ngarenaro kwa dada
 
Hahahahhaha! Mkuu umenichekesha Sana. Zamani tukiwa kwetu babati,tulikuwa tukijidanganya Arusha ni cha mtoto kwa Mji wetu pendwa. Hahahahhaha
 
Back
Top Bottom