Neymar Amfunika Ronaldinho

Yaelekea ndiyo umekuja kwny ulimwengu wa soccer leo. Tafakari kwanza maana yaelekea haujawahi kumwona Dhinho uwanjani hata cku moja. Tofautisha usingizi na kifo.
 
Huko ndo kumfunika? - Nadhani Dinyo ndo alimfunika Neymar. Akina dinyo walikuwa wamesharambwa 3 bila ila wakapiga kazi na mwisho wa siku wakashinda 5 kwa 4
 
Consultant na Liverpoolfc inaonekana mmechanjia damu na Gang Chomba. Hamtaki kukubali kuwa 'players come and players go', yaani 'wachezaji huja na wachezaji huondoka'. Kwa sasa Ronaldinho ameshafunikwa na dogo kama Messi na Neymar. Au tunaweza kusema amewakabidhi mikoba.
 
Neymar noma, umeona lakini hiyo assisti yake ya goli la pili - ilikuwa iwe hat trick!
<br />
<br />
Hiyo assist kama mchezaji ulikuwa majeruhi ndo mechi yako ya kwanza toka utoke kuumia lazima uumie tena, dogo mzuri sijui kwa nini walishindwa kuing'arisha timu yao ya Taifa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom