New standard set already

Taifa_Kwanza

JF-Expert Member
Sep 3, 2010
443
86
Joto la kisiasa nchini limepanda na kufikia degree za juu sana, nadhani liko between 41 - 50 degree.
Hii imepelekea CCM na Serikali yake kuwa very unstable, yaani ile group organization haipo kabisa ktk chama wala serikalini.

Watanzia wote sasa wako at alert, ktk namna tofauti tofauti, na kwa ujumla wetu pia tumekuwa distabilized hasa kutoka kwenye fikra mgando, Nawaomba Chadema wasilipandishe zaidi, ni vizuri ama wakaliacha katika range hiyo hiyo yaani liwe lina shuka kidogo then linapanda kidogo, linashuka kidogo then wanalipandisha kidogo mpaka tutakapolizoea (ndani ya mwaka mmoja au miwili) kisha wanaweza wakalipandisha tena.

Kwa hali ilivyo sasa, kama watalipandisha zaidi kuna hatari kubwa sana (hata tofauti na mategemeo yao) likaleta maafa sababu Watanzania hizi ni siasa mpya sana.
 
Back
Top Bottom