New railway transport policy coming-minister

BabuK

JF-Expert Member
Jul 30, 2008
1,845
329
The Minister for Transport, Dr Harrison Mwakyembe said the government has reports of plots by some private truck and bus owners to sabotage the rail transport.
Dr Mwakyembe said this in Dar es Salaam yesterday when responding to questions after opening a two-day workshop aimed at discussing recommendations in formulating the country’s railway transport policy framework involving members of a special Railway Advisory Committee.
He said despite the fact that the government has got the reports there was no evidence to prove the alleged sabotage plans.
“Yes we have got that information, but the issue is --- where is the evidence to enable us take effective measures,’’ he said.
Meanwhile the minister said the country has failed to utilise the readily available business opportunities arising from trade with her landlocked neighbours due to lack of reliable, adequate, efficient and affordable transport service.
He said in the past, rail transport in the country played a leading role in ferrying both cargo and passengers at affordable prices, but this changed following deterioration of the country’s central railway line and the Tanzania Zambia Railway line (TAZARA) in the mid-90s’.
“Being a coastal country, Tanzania is failing to utilise the readily available business opportunities arising from the International trade with her six neighboring landlocked countries, although I believe we have the capability…”
“The railway transport in our country has been characterised by high costs, unreliability, poor safety standards and low quality services due to inadequate investment, dysfunctional institutional arrangements, laws, policies and regulatory systems which did not promote competition and efficiency and these were the main reasons to constitute this committee,’’ he said.
For his part, the Committee Chairperson, Eng Dr Malima Bundara said the railway sector in the country has been neglected and that his committee has discovered a lot of challenges which face the sector including invasion of the railroad by the citizens and an outdated width of the railway.
SOURCE: THE GUARDIAN
 
Inaonyesha jinsi ambavyo Dr. Mwakyembe na serikali ya CCM walivyo mambumbu.

1. Kuna sera ya uchukuzi ya 2003.

2. Mpango mkakati wa sera hiyo haukuidhinishwa na cabinet ya mawaziri wa CCM kwa sababu ungewagusa wafanya biashara hiyo waliopanga Ikulu yet

3. Reli ina sehemu muhimu kwenye sera ya uchukuzi inahitaji mpango mkakati tu.

Sera leo hii baada ya muda wa miaka 50 ni upuuzi. Mbona tulirithi reli nzuri iliyokuwa na ufanisi wakati wa uhuru? Labda Wizara ifanye mkutano wa wazi wa tathmini na sababu za kushindwa usafiri kwa reli. Sababu moja ambayo ameitaja ni kuhujumiwa kwa usafiri huo na wenye uchukuzi wa barabara. Anatafuta ushahidi ili serikali ichukue hatua; ambalo hatakaki kulisema hadharini ni kuwa wenye malori ni watawala au watawala ni mawakala wa wenye malori
 
Dr. Mwakyembe, mara kadhaa nimeandika humu kuwa ni lazima awe makini na washauri wake aliowakuta hapo wizarani!! Haiwezekani leo hii ukasema kuwa mnatayarisha sera ya usafiri wa reli kwasababu usafiri wa reli ni moja tu katika modes nyingi za usafirishaji; hivyo kuna umuhimu wa kureview The transport policy ya usafiri in general halafu ndio ukachambua sera za different modes i.e. sera ya usafiri wa Anga; sera ya usafiri majini na land transport policy ambayo itahusu usafiri wa barabara na usafiri wa reli kwani hizi zinashabihiana. Hapo wizarani hakuna utaalaam unaouhitaji,try to find out people to help in this area from other avenues.
 
Ngojeni kwanza msiwe na papara si ndio kwanza hiyo Advisory Committee imeundwa, wapeni muda.
 
Back
Top Bottom