new mzalendo Nikaribisheni

newmzalendo

JF-Expert Member
Mar 23, 2009
1,378
550
hello members of jamii forum ,nimekuwa nasoma tu jambo then jamii forum for years now,but sijaaamua kujoin inn,sasa nimeingia mimi ni mtanzania tena mzalendo mwenye hari na nia ya kuwa mtanzania bora
aka New Mzalendo
naomba mnikaribishe ktk forum hii
thanks
 
Karibu mkuu. Kwa kuwa umekusa ukisoma on teh sidelines kwa muda mrefu, nadhani unaelewa kanuni za mchezo hapa
 
Kabla hujakuwa new mzalendo ulikuwa nani? Utatujuza huko baadaye, ila kwasasa karibu jamvini utupe mawazo bora kama mtanzania bora!
 
Back
Top Bottom