New couple! Announcement to all noticeboards !

mi naomba niwafunde maharusi
jamani ndoa si lelemama mkavumuliane kwenye shida na raha.sio leo tunapiga vigelegele hapa kesho muanze vikao vya kusuluhisha aaaaah
kubwa mtuletee tutasuluhisha lakini dogo mlimalize wenyewe.

Asante dadaangu tumeskia na tutazingatia
 
Haachwi mtu hapa

Hivi wewe binti si ni muda mrefu , nakuambia nitafute nikuunganishie michongo !
Au unataka uje ufie kwenye hayo ma-land rover 109!
Shaul'lako , uwaonavyo akina YNNAH (Malkia wa Nyuki) wanatanua na Mi- Hammer , ni hesabu tu walizipiga vizuri.
Tupa kule Mkulima wa Ndizi .
 
Last edited by a moderator:
mi naomba niwafunde maharusi
jamani ndoa si lelemama mkavumuliane kwenye shida na raha.sio leo tunapiga vigelegele hapa kesho muanze vikao vya kusuluhisha aaaaah
kubwa mtuletee tutasuluhisha lakini dogo mlimalize wenyewe.

Anaewafunda yumo kwenye ndoa? Naomba kuuliza na kama alishakuwa na Ndoa...kaachika na anafundisha kilichomtoa yeye kwa ndoa ni nini? Naomba kuwasilisha!!
 
mi naomba kuuliza mkiwa declared as a couple humu mnaruhusiwa kujamiiana? au its more of a hypothetical couple? teh teh!
 
Back
Top Bottom