New Catholic Pope: Cardinal Jorge Mario Bergoglio

Miaka ya zamani msichana alikuwa wanachumbiwa mapema lakini kuolewa inachukua hata miaka kumi baada ya kumchumbia. Sasa mtu kuwa mlinda baa ili apate hela ya kwenda kulipa ada sidhani kama ni dhambi..
Sasa kama ujira ulikuwa unamsaidia kulipa ada sasa kosa nini? Tuache ujinga wa fikra..
Aliyoyafanya mohamed ni mabaya hata kuyasimulia..ila hatutaki kuyasema mtachukia
 
Papa Francis: Maisha yake yaibua mengi

ico_plus.png
Share
ico_bookmark.png
bookmark
ico_print.png
Print
ico_email.png
Email Rating

papa.jpg

Na Florence Majani,mwananchi

Enzi ya ujana wake aliwahi kufanya kazi mbalimbali ikiwamo ya mlinzi wa mlangoni (baunsa) katika Bar, ili kujipatia fedha.



Papa Francis I aliteuliwa hivi karibuni kuliongoza kanisa hilo baada ya Papa Benedict XVI kutangaza kujiuzulu kwa sababu za kiafya.

Enzi ya ujana wake aliwahi kufanya kazi mbalimbali ikiwamo ya mlinzi wa mlangoni (baunsa) katika Bar, ili kujipatia fedha.

Papa Francis aliteuliwa hivi karibuni kuliongoza kanisa hilo baada ya Papa Benedict XVI kutangaza kujiuzulu kwa sababu za kiafya.

Aidha, Papa Francis anatarajia kuongoza misa yake ya kwanza kesho katika Kanisa la Mtakatifu Peter, mjini Vatican.

Katika wasifu wake ulioandikwa mwaka 2010 na Francesca Ambrogetti na Sergio Rubin wa Shirika la Jesuit, Papa Francis I alikiri kuwa aliwahi kufanya kazi kama mlinzi wa mlangoni katika moja ya baa za Jimbo la Buenos, Argentina, ili kujipatia ada ya shule.

Papa huyu mpya ambaye jina lake halisi ni Jorge Mario Bergoglio, alisema kuwa rafiki yake wa kike alikuwa ni miongoni mwa kundi la marafiki aliokuwa akicheza nao muziki wa tango.

“Lakini baada ya kubaini kuwa natakiwa kuenenda kiroho, nilisitisha urafiki,” alisema alipohojiwa.

Papa Francis I amezaliwa katika familia yenye maisha ya kawaida, ambapo baba yake alikuwa mfanyakazi wa shirika la reli na mama yake alikuwa mama wa nyumbani.

Vilevile kuna taarifa zinaeleza kuwa Papa Francis, aliwahi kumpenda msichana mmoja na kutaka kuoa kabla ya kuingia katika utumishi wa Mungu.

Mwanamke huyo Amalia Damonte alisema kuwa aliwahi kutaka kuolewa na Papa, lakini alikataa.

“Nampa hongera Papa Francis, lakini nilikataa ombi lake la kutaka kunioa,” alisema Damonte.

Alisema Bergoglio alionyesha nia ya kumwoa akiwa na miaka 12 na alikataa kwa sababu wazazi wake wasingekubali akiwa katika umri huo.

Mie nilifikiri utasema alikuwa anafuga majini na kupiga kisomo!!!
 
Ha ha haa! Wanamuangalia Papa kipekee kuliko hata mtume wao! Kuna mchungaji mmoja aliwahi kuuliza, hivi kama mtume angekuwa ameyafanya hayo sasa hivi, mahakama ingempa adhabu gani? Watu: kunyongwaaaaaa!

Pamoja na hayo,lakini hayati Mwamedi aliendeleza uzayuni kwa kumtembea na maajuza,mambo yakamnogea hadi akapitisha sheria ya kuoa wake wengi,
That was just my observation of facts.
Matter of fact, Sabean Saracenic Satanists na Imperial Catholics are all the same, through and through.
 
Kitoabu kama nyumba ilishawahi kukaliwa haiwezi kuwa mpya, mpya ni kile kisichokuwepo kabla, kutumika kabla, kujulikana kabla, kufahamika kabla, kuonekana kabla, lakini kama hoja hizi tayari zilishaandikwa mwaka 1986 upya wake ni nini?
Ivi mkuu unajua suala la kadinali wa Scotlaland kuji husisha na ngono za jinsia moja jinsi lilivyo teka ulimwengu? Unajua sababu yake nini? Au dunia haijui uwepo wa watu dizine ile? ( wafanya ngono ya jinsia moja ) jibu utakuta jambo lile sio jipya masikioni mwa walimwengu, ila jipya kwamtu alie fanya. Mfanyaji ali tagamewa awe mkemeaji sio mtendaji. Kwamantiki hiyo lazima uwone jambo lile ni jipya.
 
Last edited by a moderator:
Ni kweli kabisa dada yangu,lakini kumbuka kanisa halina nafasi kwa matohashi,ndiyo maana mtu mpaka aje kuukwaa ukasisi ni lazima apitie intensive probation.
Kwahiyo mama ( wakufikia ) unataka uniambie yule aliye jiuzuru wiki mbili zilizo pita kule Scotland alitoa rushwa mpaka kuukwa ukadinali?
 
Siku zote nilikuwa namuamini sana na napenda sana kusoma makala za Florence Majani wa gazeti la Mwananchi.

Lakini kwa hili naondoa Credit kwake na pia anataka binafsi kunifanya nilione kuwa gazeti la Mwananchi linapoteza mwelekeo na kuwa gazeti la UDAKU.

Sijayaona hayo mengi katika maisha ya huyu kiongozi mpya.

Labda Florence aje hapa JF na kutufafanulia


MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
 
Hivi kwa nini kimewauma sasa kwa huyu baba kuwa Pope.Mnajifanya mnakemea maovu kumbe kinawakereketa.
Mungu si mwanadamu..Anasamehe dhambi na kutakasa kabisa..Hata wewe tubu dhambi zako utakaswe kwa damu ya Yesu uwe kiumbe kipya..
Uyo yesu kashindwa kujiokoa mwenyewe msalabani, ndio aweze kuniokoa mimi? Namwamini mungu2 sababu me, simshirikina. Copy ( fidQ
 
Watu hawatazami!hata huyo Mama aliyehojiwa ni mke wa mtu,tena ni bibi wa miaka 77...ktk jamii za Watu wa latin Amerika miaka 12 mwanaume na mwanamke kuwekeana ahadi za ndoa ni kawaida,wakati Papa akiwa na miaka 76,huyo mwanamke ana miaka 77...wametofautiana mwaka mmoja!!Padre ni msingi wa vyeo vingine ktk kanisa kama Askofu,Cardinal au Papa...Padre haibuki,ni tunda la familia..anazaliwa na kukua ktk mazingira ambayo watoto wengne wanakua...anapita ktk michakato yote..mpaka anapoamua kuyakana ya dunia na kumfuasa Kristo......katika hayo mengi mwandish alitakiwa kuongeza haya...."Wakati makadinal wengine ktk maeneo yao ya huduma huish ktk majumba ya kifahari,huyu alikaa ktk Apartment ya vyumba viwili akiwa na rafiki yake kilema,akipika na kujifulia nguo mwenyewe,hutumia usafiri wa umma kwenda ofisini kwake,apatapo safari kwenda Vatikan hukaa ktk hotel ya kawaida,wakati wenzake wakivaa misalaba ya dhahabu yeye ana "wooden cross",cassock yake si maridadi na yenye ghalama,hata alipokuwa papa hakupanda gari la kipapa..alipanda gari na makadinal wenzake wa zaman kurudi St.Peters,na wakati wa kumpongeza hakuruhusu waje mmojammoja,bali yeye aliwafuata na kuwapa mkono mahali pao...juzi alifuata mizigo yake ktk hotel aliyofkia na kulipa bili mwenyewe...amewambia watu wa Argentina ktk umasikin wao wasihangaike kuja Roma ktk misa kuu ya kuanza utume,kwan safar n ghalama sana..atatafuta wasaa wa kwenda kuwashukuru kwa kumlea!Na amewambia wasifurah yeye kuwa Papa toka Argentna,bali wamuombee mana mzgo alokabidhiwa ni mkubwa"...haya ndo mengi ya Pope Francis,ambao wengine wanajichanganya na kumwita Pope Francis I....Ni Papa wa 265 japo wapo wanaosema ni wa 266...This is another Theological Battle

well said!
 
Ninavyowajua mabaunsa, mh!:

Wanapenda pombe za bure/offer,
wanapenda videmu vidogodogo,
ugomvi ukitokea ndo wa kwanza kuingia mifukoni kwa wateja kujipatia riziki,
n.k n.k n.k

huenda papa hizi sifa alikua nazo? Zikawa tabia? Akaendelea kuwa nazo hadi sasa?


tehetehetehe .......
 
mengi yapi ? mbona CV ni nzuri tu , baunsa kwa ajili ya kipato - asiyefanya kazi na asile wapi la ajabu, kufanya dhambi ni kila mwanadamu ndo maana tunaambiwa hakuna aliye mkamilifu .
 
Kama hutaki majibu ya hivo usiwe unaweka Mada za udini humu jamvini!!Tuliwaheshimu muda mrefu sasa hivi tutakua tunawapa tu za uso na nyie nipo..Nipo ukurasa wa 50 kile kitabu cha Rushdie sasa endeleeni!!
 
Dah! Jaman hata papa alikuwa mtoto wa mtaani.na ili uwe mchungaji lazima uwe na historia yenye ushahidi wa kutosha.
 
Wewe una yako huo ni ukamilifu wa kibinadamu na akaamua kuyaacha yote na kwenda kumtumikia mungu wetu,
 
Back
Top Bottom