CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,255
- 12,872
NATABIRI... Atakuwa MMAREKANI!""
Sipati picha akichaguliwa Pengo
Source BBC.
Kwa mda huu umati umejaa katika viwanja vya St Peter's square kungojea papa mpya ambae mpaka sasa hajajulikana katokea wapi na ataitwa nani
baba mtakatifu!???? Ebu kuweni serious, hakuna mtakatifu duniani jama ila juu mbinguni tu
utakatifu inategemea na dini gani upo.. ulazimishwi kuamini.. kama sio mkatoliki .. na ndio maana kuna tofauti katika imani ....Baba mtakatifu!???? ebu kuweni serious, hakuna mtakatifu duniani jama ila juu mbinguni tu
Mungu wetu ni mkubwa.
CNBC wametangaza kuwa ni kardinal Arinze wa Nigeria ndiye papa aliyechaguliwa
Charming, time will tell, haina haja ya kutabiriNATABIRI... Atakuwa MMAREKANI!""
Charming, time will tell, haina haja ya kutabiri
anamaanisha cheo!
ametoka LATIN AMERICA.
Yupi huyo !?