The Finest
JF-Expert Member
- Jul 14, 2010
- 21,605
- 6,080
Nipo banaa since tumeambiwa wanaume we are natural born liars wakati wanawake ndio wanatuzaa sielewi, nasikia border ya Namanga wana target FAT chicks lol!!!TF upo mkuu
Nilikuona jana nyumba ya jirani aise
mambo vipi
BTW sijachakachua siredi please