Neno mswahili wewe unalitafsiri vipi?

Inategemea mazingira na muktadha.

Mfano ukiwa nje ya nchi watu weusi huitwa waswahili.

Ukiwa mkoani mfano usukumani kama ukienda hujui kisukuma utaitwa mswahili.

Ukiwa Unguja na Pemba na wewe so muarabu mara nyingi huwa nasikia wanamrefer mtu mweusi kama mswahili.

Ukiwa Masaki mswahili ni mtu asiye na tamaduni zinazoendana na "usomi", barbarian, msaniisanii, muhuni muhuni asiyeeleweka mwenye ushawishi mwingi mdomoni.
 
Ukichunguza vizuri utakuta ni kwa mjomba au shemeji yake huko, amepewa hifadhi
Kwishaaa!!; Hao wa kujibanza wanakuaga na mbwembwe acha!

Jamaangu Moja tulitoka wote sehem Moja kufika dar kila mtu akafikia kwa mwenyeji wake, mi nlifikia kwa marafiki nliosoma nao yy akaenda Kwa ndugu zake Kwa kiasi flan Ile familia hela zipo rafiki hata lengo lililotuleta aliacha saiv daily kuweka status wanapokua viwanja 😁😁 tukipiga story kwangu 50k ni kubwa lkn kwake 100k anaona kama jero tu
 
Anakunywa vile vikahawa vichungu na kashata, anacheza bao au Drumnadrochit. Anaweza akawa na busha halafu hataki operesheni
Ahahhahaaa hii kiboko kwahiyo wanao kunywa kahawa ni waswahili?
 
Kwishaaa!!; Hao wa kujibanza wanakuaga na mbwembwe acha!

Jamaangu Moja tulitoka wote sehem Moja kufika dar kila mtu akafikia kwa mwenyeji wake, mi nlifikia kwa marafiki nliosoma nao yy akaenda Kwa ndugu zake Kwa kiasi flan Ile familia hela zipo rafiki hata lengo lililotuleta aliacha saiv daily kuweka status wanapokua viwanja 😁😁 tukipiga story kwangu 50k ni kubwa lkn kwake 100k anaona kama jero tu
Kwahiyo unataka kusema anafaid mema ya familia
 
mswahili ni mtu anaejifanya anajua kumbe hajui starehe anapenda na pesa hana kwasabu pesa hana basi starehe yake kubwa ni ngono ataoa wake wengi au ataoa nakuacha watoto huduma zero

anauwivu na majungu kwa aliefanikiwa wengi wao elimu hawana
 
Back
Top Bottom