Neno La Leo: Mtoto Anapokosa Titi La Mama Anafanyaje?

Nadhani wakati umefika wa kukuhukumu kutokana na maneno yako mwenyewe uliyowahi kuropoka hapa. Mimi neno langu la leo ni ...

Chama chenye makada wengi wenye kuielewa itikadi, malengo na shabaha ya chama, huwa hakimtegemei mtu mmoja katika kuwepo kwake. Hakimtegemei mtu mmoja katika kufanikisha ushindi wa chama. Hakimtegemei mtu mmoja katika kuhamasisha wanachama au umma. Chama hicho hujiamini. (Maggid)

I'm so glad this is finally ending, well not over because all that has happened is one set of liars and thieves have been partially replaced with other thieves and liars. But, hopefully government will finally get it in their heads that acting like spoiled brats is not going to keep them in office. Now is the time for WE the people let them know they work for US, not some families and their cohorts, or big thieves like RA et al. I wish I had a real answer, but I can say without any doubt in my mind, we need to get out of the business of trying to fix TANZANIA by mere words and fix in deeds.
 
Coach Parcel,

Once again I am arguing you to remove the above message. Even though I disagree with many things that Maggid has postulated, I vehemently defend him on this one. It is reprehensible to attack one's family member; in summary family members are off- limit! Frankly speaking, it is message like yours ,Coach Parcel, that are destroying JF's reputation! Plz let's maintain the level civility that has been around for years now. By the way, I have already informed the moderator and I hope he will act swiftly.

Rufiji,

Mimi nikushukuru sana kwa kuonyesha mawili; uungwana na ujasiri.

Nilisoma aliyoyaandika mwenzetu Coach Parcel. Amekosa uungwana. Anaonekana kuwa ni mtu mwenye chuki. Namsamehe.

Nakushukuru Rufiji kwa ujasiri wako. Maana nafahamu, kuna wengine wamesoma hayo na kusikitishwa, lakini labda wameingiwa hofu ya kutoa maoni yao.

Nakumbuka miaka ya 90 nilipanda garimoshi kutoka mji wa Sundsvall kwenda mji wa Gavle nchini Sweden. Nilikaa pamoja na vijana waliokuwa na mitazamo ya Ki- Nazi. Walinichokoza kwa kauli za kibaguzi. Abiria wengine walijawa na hofu, walificha nyuso zao kwenye vitabu na hata kuangalia nje madirishani. Jambo lile lilinitia hofu sana. Ndio, kuona wanadamu wenzangu, kwa hofu, wakiamua kukaa kimya na hata kujificha huku mwanadamu mwenzao akiandamwa na kauli za kibaguzi na chuki.

Wenye ubaguzi na chuki tunao hata katika jamii yetu. Tuna wajibu wa kuvunja ukimya. Nashukuru umemjulisha moderator pia. Kama zipo taratibu za mwenzetu Parcel kuambiwa , kuwa anachofanya si cha kiungwana wala Ki-Utanzania, basi aambiwe. Tutakuwa tumemsaidia.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom