Neno la Asubuhi...

MSEZA MKULU

JF-Expert Member
Jul 22, 2011
3,752
5,497
Yoshua 1:5
"Hapata kuwa na mtu yeyote atakayeweza kusimama mbele yako;Kama nilivyokuwa pamoja na Musa ndivyo nitakavyokuwa na wewe; Sitakupungukia wala sita kuacha"

Bila kujali hali zetu za sasa. Kuna faida kubwa kuingia mkataba na Mungu ktk maisha.
Ameahidi hatakupungukia wala kukuacha.
Kikubwa zaidi, Hakuna MTU atakayeweza KUBLOCK maisha yako siku zote za uhai wako.

neno la Mungu ni tamu.
ni alfa na omega ya maarifa kuhusu mwanadamu.

mbarikiwe wapendwa wa JF.
 
Nitamu pia nichungu, ususa uchungu hule alipitia Yesu kwaajir ya dhambi zetu (Ubinafsi na kujiinua) .Yesu alituliza hivi "mwaweza nywea kikombe hiki" Petro akajibu ndio twaweza, na kweli Mitume wote walikinywea, mbna sisi tumeonekana kuwa mbali na hicho kikombe na ndio kipimo thabiti cha kumjua Mungu ana kwenda Peponi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom