KakaKiiza JF-Expert Member Feb 16, 2010 11,578 8,600 Jul 28, 2012 #1 Mlabaha??.........au Mlahaba?? Maana naona waheshimiwa bungeni wanasema MLABAHA...sasa nilipi neno sahihi?
Mlabaha??.........au Mlahaba?? Maana naona waheshimiwa bungeni wanasema MLABAHA...sasa nilipi neno sahihi?
Dotworld JF-Expert Member Aug 10, 2011 4,035 3,773 Jul 29, 2012 #3 KakaKiiza naona mkuu khadijha00 hapo juu ameshakupa jibu sahihi. Kwanza haiitwi Mlabaha??.........au Mlahaba? ... neno sahihi ni mrabaha lina lina maana mbili: Maana: mrabaha* nm mi- [u-/i-] 1 royalty. 2 proceeds, returns, profit. (Kar) .
KakaKiiza naona mkuu khadijha00 hapo juu ameshakupa jibu sahihi. Kwanza haiitwi Mlabaha??.........au Mlahaba? ... neno sahihi ni mrabaha lina lina maana mbili: Maana: mrabaha* nm mi- [u-/i-] 1 royalty. 2 proceeds, returns, profit. (Kar) .