NEMC mmebariki huu uchafuzi wa mazingira unaofanywa na waumini wa Mwamposa wanaolala nje viwanja vya Tanganyika Packers Kawe?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,745
109,190
Ukipita muda wowote eneo hilo ni lazima tu utakutana na Pedi zilizotumika zikiwa zimetapakaa kila sehemu, Pampers za Watoto (zinazotumiwa Kisirisiri pia na Wakubwa), Vinyesi vya Uhakika na Vilivyotuka na kuona Watu (hasa Wamama) wakiwa Wanaoga bila ya Kuchukua tahadhari ya Kujificha ili Mabingwa wa chabo Tanzania wasiwakodolee na Kudindisha kwa Kulazimishwa.

NEMC tafadhali hali ya Kimazingira hasa katika Viwanja vya Tanganyika Packers Kawe ni mbaya na HATARI kwa Wapita Njia, Wakazi na Wafanyabiashara waliopo.
 
NEMC yenyewe inaongozwa na nduguye mtume unategemea amchukulie hatua nduguye? Hata hivyo nemc yenyewe ilishajifia siku nyingi imebakiza porojo zinaitwa eia na ea makaratasi yanaandikwa ili mtu/mwekezaji apewe cheti afungue kiwanda au mradi unaochafua mazingira na kuathili afya za watu lakini nemc hawaendi kuchukua hatua. Ndio maana mwendazake hakutaka kusikia hii kitu!
 
Back
Top Bottom