kiraia
JF-Expert Member
- Nov 20, 2007
- 1,716
- 999
Mkuu nawe unamfatilia kivuli? Sio rahisi mchechu kupewa hazina ya nchi hiuo sahau.
Hata sielewi ila nitabaki mtiifu kwa mamlaka na kuonyesha uzalendo kwa taifa na chama changu, hongera kwake kwa kuteuliwa ni kiongozi sahihi tuliekuwa tunamsubiria japo sina kumbukumbu inawezekana nilipongeza pia alipotenguliwa na kusema hafai🤣🤸🐒Hii nchi tumechezewa sana...nasema uongo ndugu zangu???
Watu wale wale walioharibu wanarejeshwa ili waharibu zaidi.Chupa ile ile, Mvinyo ule ule
Same Script Same Cast; Recycling of the Same
Trying to solve a solution using same methods which failed before