Wadau naomba mnipe ushauri na a way forward.
Mimi ni graduate ila si engineer ingawa nimefanya mambo ya construction pale UCLAS. Nimesajili kampuni ya contractors BREla sasa nataka kwenda CRB kusajili.
Tunatafuta registered engineer civil engineer ambaye we can partner katika kukamilisha usajili na kukubaliana nae asilimia ya kazi tutakazo kua tunapata.
kama kuna mtu yuko interested please tuwasiliane kwa +255755384070 au email propertysolutiontz@gmail.com