eden kimario
JF-Expert Member
- Jun 13, 2015
- 10,227
- 16,179
Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imesema mawakala hawatakiwi kuingia na simu kwenye vituo vya kupigia kura kwa sababu itasaidia kuepusha mawakala kutoa taarifa ambazo si sahihi.
Je hii ni sawa? Au ni mwendelezo wa kuwa na hawa mawakala? Mnaoweza kutafsiri hii kauli tusaidieni.
Chanzo: East Africa Radio
Je hii ni sawa? Au ni mwendelezo wa kuwa na hawa mawakala? Mnaoweza kutafsiri hii kauli tusaidieni.
Chanzo: East Africa Radio