Ndugu zangu wanafia uchagani na uhayani

Kwanza kabisa nilikuwa na demu wa kichaga huyu ni balaa anapenda ela kinyama kama zali vile now nimetua huku kwa wahaya usiombe ukizubaa kidogo tu unapasahau hata kwenu
 
Wachaga ni wazuri,wanajiheshimu wapiganaji..wahaya wana akili sana darasani na wanapenda kuhimiza kusoma.wanapenda maendeleo...wanaweza kuish maisha ya hali zote ..woga wako ndo umaskini wako.lakin unaweza oa nyumbani.japo kama ujuavyo huwez mshaur mtu kwenye.suala la mapnz...kaka angu anaoa december mchaga na hakuelew somo.anakuambia huyu dada mchaga/wifi angu kamsaidia sana hadi hapo tunamuona sisi kafanikiwa..so tumemuacha afanye yake.

hao wahaya mbona kwao hovyo sana? Maendeleo gani wanayoyaimiza??!
 
kuna hiyo family friend mama mpare baba msukuma walibarikiwa watoto watatu baada ya kujenga mjumba wa maaana na nyingene kwaajili ya wapangaji mama kaingiwa tamaa kamuua baba kwa sumu ya mamba ndugu wa mume hawakua mbali wakamuua mama, Pale home walikua wanaishi na na bibi yao mama wa mume bahat mbaya zaidi huyu mama kipindi anamuua mumewe aliwashirikisha watoto na ile sumu ikabaki home watoto wakatumia the same sumu kumuua bibi yao coz walikua bize hawawezi kumuhudumia matokeo yake sasa ndugu wa mume wakawatenga wale watoto wakubwa wawili wakakachukua kadogo ka mwisho kukatunza mtoto wakike yule mkubwa sa iz ni kahaba wa kiume ni teja.

Hii tunaita laana.
 
Umeona eheeee, Pesa Uchagani, Utamu uhayani!!! mmoja mla ndizi laini mwingine mla ndizi ngumu, lakini kiukweli watoto wa kihaya hakika wazuri kwa hiyo wanaonasa msiwalaumu wanatafuta kuzaa mamissworld.

mwenyewe nimebeba kitu cha kihaya,nafauduje?
 
Wanawake wa kichaga hutafuta wa kuwaoa kwa mbinu mbalimbali. Hii inaweza topic on its own. Wanawake wa makabila mengine husubiri watafutwe. Hiyo ndiyo tofauti na matokeo yake ni dhahiri. Wachaga wataolewa wengi. Kuna factors zinawasaidia na hasa elimu.
Nakumbuka wakati wangu jinsi walivyoletwa au kujitokeza kiakili ili niwaoe. Mitego iliwekwa lakini nilijua kilichokuwa kinaendelea nikachomoa.
Wadada makabila mengine igeni mbinu za kutafuta msingoje kufuatwa mtasubiri sana
 
Cc Matege
 
Last edited by a moderator:

asante for being positive kuhusu Kilimanjaro mkuu..
 
Back
Top Bottom