Gody
JF-Expert Member
- Apr 16, 2010
- 1,246
- 411
Habari wakuu,
Naamini ni wazima wa afya.
Naomba niende moja kwa moja kwenye mada..
Ndugu zangu, nina miaka kadhaa tangu 6/2012 nimuoe shemeji yenu, tumekuwa tukihangaika kupata mtoto lakini mpaka mwaka huu ikawa imeshindikana bila mimi kuwa na shida yoyote na yeye mke wangu alikuwa na matatizo madogo dogo (majibu ya hosptal) ambayo tulishasolve lakini bado ikawa bado mtoto kupatikana.
.