Ndugu, jamaa na marafiki njooni tumtetee Makonda dhidi ya mapapa wauza unga wanaomzushia

Ni hayo tu....
Asije kupata pepo la kujiuzulu wala asije wapa waovu nafasi ya ushindi,asimame imara.
•KWA SABABU NAFASI KAMA ZA UKUU WA WILAYA AU MKUU WA MKOA ZIPO KIUTAWALA ZAIDI NA SI KI"PROFESSIONAL" KAMA MADAKTARI,MAINJINIA N.K..
->kwani ni hatari zaidi kwa mtu kama daktari kuforge lolote maana huyu huweza kupelekea mauaji ya watu.
Amen Amen!
 
Kwani vyeti anatakiwa apeleke wapI?.....nazani kama kuna sehem alitakiwa kufanya hivyo atakuwa kashafanya ila kama alitakiwa hata Tuttle povu vipi ni bure.
 
Ni hayo tu....
Asije kupata pepo la kujiuzulu wala asije wapa waovu nafasi ya ushindi,asimame imara.
•KWA SABABU NAFASI KAMA ZA UKUU WA WILAYA AU MKUU WA MKOA ZIPO KIUTAWALA ZAIDI NA SI KI"PROFESSIONAL" KAMA MADAKTARI,MAINJINIA N.K..
->kwani ni hatari zaidi kwa mtu kama daktari kuforge lolote maana huyu huweza kupelekea mauaji ya watu.
Wewe nawaswas na ww unaweza ukawa unavyeti feki ww....aiwezekani utete ujinga huu wa watu kugushi mavyeti
 
kama kweli ni MUNGU tutambue haangalii O zake.MUNGU huangalia kusudi lake.ndio sababu alisema hata mawe aweza kuyatumia kufikia kusudi lake. Daudi rudi kwa Bwana....umeambiwa hakukuita kisiasa.
tazama ukaidi wako umekuzamisha tumboni mwa samaki.
 
Na bado, mwenzenu na zero yake anatembelea gari la mil 80,ana nyumba na hotel,yani mlie tu makonda sio type yenu,ukitaka kujua cheti sio utajiri muulizeni bakhresa
We kweli mburula unadhani watu wanatak hizo nyumb na hayo magari...ishu hapa haki itendeke mbn yy alitaja wenzake wakafikishwa mpka sehem husika....au hujui fogering nikosa kisheria au unatetea tu sis hivo vigari vya nn sasa si vyake swala vyeti
 
Mtaendelea kulia njaa,makonda sio type yenu,kama mlisema ana zero na mna ushahidi c mtoe? Mnapiga makelele ili iweje kmamayo zenyu mabwege nyie
We ndo bwege,..yy nikiongozi anashindwaj kutoa ivo original kama wenzake wengine ambao walishawai kutumiwa wakaonesha umma kwani kunamtu aliendelea kuongea.....ww unapiga kelele za nn umekua bashite ww kaa kushoto uko.
 
Wabongo ndio maana mnatatuliwa marinda shenzi nyie, mna akili za kushikiwa, mtatiwa mimba kwenye makalio mbwa nyie
Unataturiwa ww mshenzi unaemjibia tuhuma mwanaume mwenzako si ukaushe atajitetea mwenyew au ww ndo msemaji wa ofisi yake,...
 
Ni hayo tu....
Asije kupata pepo la kujiuzulu wala asije wapa waovu nafasi ya ushindi,asimame imara.
•KWA SABABU NAFASI KAMA ZA UKUU WA WILAYA AU MKUU WA MKOA ZIPO KIUTAWALA ZAIDI NA SI KI"PROFESSIONAL" KAMA MADAKTARI,MAINJINIA N.K..
->kwani ni hatari zaidi kwa mtu kama daktari kuforge lolote maana huyu huweza kupelekea mauaji ya watu.
So stupid, hili ndo tatizo lenu wafoji vyeti
 
Ni hayo tu....
Asije kupata pepo la kujiuzulu wala asije wapa waovu nafasi ya ushindi,asimame imara.
•KWA SABABU NAFASI KAMA ZA UKUU WA WILAYA AU MKUU WA MKOA ZIPO KIUTAWALA ZAIDI NA SI KI"PROFESSIONAL" KAMA MADAKTARI,MAINJINIA N.K..
->kwani ni hatari zaidi kwa mtu kama daktari kuforge lolote maana huyu huweza kupelekea mauaji ya watu.
 
Najua wapo mtaponda na kutukana lakini bado Kiongozi huyu amefanya vizuri zaidi kwenye eneo lake mpaka sasa nikilinganisha na viongozi wengine wengi tulionao
Sijajua ni kwa nini viongozi wachapakazi wanaowafikia wananchi na kuyasikiliza,kutatua kero zao tunawapata wachache sana afrika hususan Tanzania
Japo wengi wamesahau au hawaelewi lakini Tanzania tukiwa na Viongozi 30 kama huyu hakika tutatoka hapa tulipo
Hapa in baadhi ya Viongozi Wa aina hii tuliowahi kuwa nao
Hayati Baba Wa Taifa,
Hayati Edwarld Sokoine
Mh Augustine Mrema,
Mh JP Magufuli
Hayati S.Sitta
Tutapiga Kelele lakini ni lazima tuwe na viongozi type hizi,Kwa sasa DC Ally Hapi kinondoni na Mh Lukuvi -Ardhi wanakuja vizuri
Haiwezekani mbunge toka anachaguliwa hasimami bungeni kuongea chochote had i bunge linamaliza Kipindi/muhula wake!
Mungu atusaidie.
 
Hivi watanzania huwa tunamuomba Mungu wa aina gani??
Zingine ni kelele tu.
Hazisikilizwi.
Mungu hawezi kuwa upande wa wanaojikweza, waonezi, na wadanganyifu hata kidogo.
Huwa nawashangaa hata wanaoiombea hii awamu.
Tufanye kazi, tuache kumpigia Mungu kelele
mumieee penda wewe sanaaa
 
Ni hayo tu....
Asije kupata pepo la kujiuzulu wala asije wapa waovu nafasi ya ushindi,asimame imara.
•KWA SABABU NAFASI KAMA ZA UKUU WA WILAYA AU MKUU WA MKOA ZIPO KIUTAWALA ZAIDI NA SI KI"PROFESSIONAL" KAMA MADAKTARI,MAINJINIA N.K..
->kwani ni hatari zaidi kwa mtu kama daktari kuforge lolote maana huyu huweza kupelekea mauaji ya watu.
Acha maneno wewe, kukata hii kitu mzizi wa fitina aweke mezani vyeti tuu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom