Ndomba kumrithi Hosea very soon

Status
Not open for further replies.
Bado nasisitiza; tunahitaji John Githongo wetu kwenye nafasi hii. Awe ni wa kuteuliwa au kwa nafasi hii kutangazwa watu wakaomba. Jenerali Ulimwengu au Jaji Waryoba kwa mapenzi waliyonayo kwa Nchi yetu naamini ndio wanaostahili kwa sasa. Namwomba Rais wetu awafikirie na kuwaomba hawa jamaa wamsaidie kama kweli yuko serious na vita dhidi ya rushwa na ufisadi
 
Gen Ndomba alifanya nini akiwa jeshini kabla ya kuingia uraiani?

Alifanya nini akiwa Ngara kama DC?

Baadaye alifanya nini akiwa kama mkuu wa mkoa wa Arusha?

Anafaa?
 
Gen Ndomba alifanya nini akiwa jeshini kabla ya kuingia uraiani?

Alifanya nini akiwa Ngara kama DC?

Baadaye alifanya nini akiwa kama mkuu wa mkoa wa Arusha?

Anafaa?

Tanzania hatutumii vigezo kama hivyo kuchagua viongozi. Tungewangalia viongozi wetu katika mtazamo wako hata JK asingekuwa hapo alipo. Vilevile tungekuwa tuko mbali sana. Mambo ya Bongo ni who you know period.
 
Gen Ndomba alifanya nini akiwa jeshini kabla ya kuingia uraiani?

Alifanya nini akiwa Ngara kama DC?

Baadaye alifanya nini akiwa kama mkuu wa mkoa wa Arusha?

Anafaa?

Invisible,
Muungwana kwenye teuzi zake haangalii hayo! Teuzi zake nyingi zinaangalia USWAHIBA, UANAMTANDAO, AKINA "NDIO MZEE", tulisoma wote Minaki, udsm, ...
 
Kwa hiyo tunapaswa kwanza kuwa na vigezo za mtu anayefaa kushika nafasi hiyo, kabla hatujampata mtu mwenyewe
 
Ingekuwa bora tumpendekezee muungwana jina la anayefaa kuchukua nafasi hii anayefanana fanana na Githongo wa hapa bongo pia awe kijana damu inayochemka sio kama hao wazee waliotajwa hapo juu (Warioba)
 
.........pamoja na maneno mazuri ya wengi wa wanaJF hapo juu......namfikir jambo la msingi ambalo tumekuw atukilipigia kelele siku zote hapa JF..........ni kuwa PCCB kiwe chombo huru.......na kwa mtazamo wa wengi wetu.......kiwajibike kwa bunge......otherwise hata leo ukileta "malaika" katika position ya Dk. Hosea.....bado tutaona madudu......na tena tutawachafua watu wasafi wenye nidhamu na wachapakazi........
 
Ingekuwa bora tumpendekezee muungwana jina la anayefaa kuchukua nafasi hii anayefanana fanana na Githongo wa hapa bongo pia awe kijana damu inayochemka sio kama hao wazee waliotajwa hapo juu (Warioba)

Inawezekana kabisa hao wazee wanafaa kuliko hawa vijana wenzetu. I can imagine Nchimbi au Mathayo ni Rais wa TZ, nafikiri hapo tutamkumbuka hata JK. Hivi kwli tuna kijana gani (CCM) sasa ambaye damu inachemka na anauwezo wa kuchukua nchi?? Mwenzenu simuoni, unless hayuko kwenye system ya sasa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Leave alone Lowassa...........unajua mimi siamini Chenge et al waliingia ktk system na akili za kifisadi.....nafikiri system zetu za uongozi zilivyo mbovu ndio zimewajenga wao kuwa mafisadi..........

......just imagine tuna kiongozi kama Makamba........anamwambia kijana nape umefungiwa Duniani na Mbinguni umefungiwa!!!!!!.......au imagine Conclusion aliyoitoa Dk. Hosea kuhusu RDC..........Hosea alikuwa anajua kabisa anachokifanya.....no doubt kabisa alifanya hivyo akiwa under shinikizo........
 
Binafsi ningeona Balozi Mahiga wa New York kama mtu anayefaa kuwa DG wa PCCB baada ya kuukosa wa TIS kwa madai kwamba alikwishapita huko hawezi kurudi tena na kwamba amekwishakaa sana katika diplomatic position hatafaa sana katika utendaji wa TISS lakini Mahiga hata kama anaweza, pamoja na kuwa na kasoro zake kama binadamu wengine, atahitaji kuaminiwa na kuachiwa afanye kazi kwa kufuata sheria zilizopo badala ya kwenda kubisha hodi Ikulu kutaka kibali hata baada ya DPP kutoa kibali cha mashitaka... Mahiga atahitaji Rais atakayemwambia sheria ndio bosi wako na kama kuna kipengele kinasema hadi Rais, basi ndio akipeleke lakini kwa kuwa hata DPP akichelewa kwa siku 90 PCCB wanaweza kuendelea na kesi mahakamani, atakeyepewa nafasi ya Hosea (kama atabadilishwa) basi akaze buti na kuwaburuza wote mahakamani na kesi zilizo mahakamani (kama ya Mahalu) isimamiwe na wanasheria makini na si wale vijana wanaolegea na kunyanyaswa na kina Mgongolwa pale Kisutu.

... Balozi Mahiga wa New York ... baada ya kuukosa wa TIS kwa madai kwamba alikwishapita huko hawezi kurudi tena na kwamba amekwishakaa sana katika diplomatic position hatafaa sana katika utendaji wa TISS ...

Hii umejuaje hii? Kikwete alitoa sababu za kwanini hakumpa fulani badala ya fulani?

"Kwa madai kwamba..." madai ya nani, Jamii Forum?
 
Binafsi ningeona Balozi Mahiga wa New York kama mtu anayefaa kuwa DG wa PCCB baada ya kuukosa wa TIS kwa madai kwamba alikwishapita huko hawezi kurudi tena na kwamba amekwishakaa sana katika diplomatic position hatafaa sana katika utendaji wa TISS lakini Mahiga hata kama anaweza, pamoja na kuwa na kasoro zake kama binadamu wengine, atahitaji kuaminiwa na kuachiwa afanye kazi kwa kufuata sheria zilizopo badala ya kwenda kubisha hodi Ikulu kutaka kibali hata baada ya DPP kutoa kibali cha mashitaka... Mahiga atahitaji Rais atakayemwambia sheria ndio bosi wako na kama kuna kipengele kinasema hadi Rais, basi ndio akipeleke lakini kwa kuwa hata DPP akichelewa kwa siku 90 PCCB wanaweza kuendelea na kesi mahakamani, atakeyepewa nafasi ya Hosea (kama atabadilishwa) basi akaze buti na kuwaburuza wote mahakamani na kesi zilizo mahakamani (kama ya Mahalu) isimamiwe na wanasheria makini na si wale vijana wanaolegea na kunyanyaswa na kina Mgongolwa pale Kisutu.

Kaka msimuombe mabatatizo na watu mzee wetu.......kuna majukumu ya kumpa lakini sio hili la kupambana na mafisadi.......mwacheni mzee wa watu jamani.....

Huko kunahitaji wahuni wenzao.......offcourse wanaochukia ufisadi

Tanzanianjema
 
Hii umejuaje hii? Kikwete alitoa sababu za kwanini hakumpa fulani badala ya fulani?

"Kwa madai kwamba..." madai ya nani, Jamii Forum?

Maswali yako magumu. Nimefeli kama ni mtihani. Kwamba Hivi nimejuaje. "Hata mimi Sijui nimejuaje" kama kweli nimejua. Swali kwako ni kwamba umejuaje kama mimi nimejua? na kama nimejua umejuaje kwamba huo ni ujuaji?

Kuhusu madai ni ya nani, jibu nalo ni gumu. Wanaodai hayo ni miongoni mwa wale wanaojua kwamba nimejuaje, kwa hiyo jibu kwangu ni gumu kuwajua wale wanaojua nimejuaje.
 
hizi ni habari nyepesinyepesi zipelekwe kunakohusika.
 
.......Malecela kutokuwemo ktk baraza wakati huo hakumaanishi kuwa Mwinyi alikuwa na imani ndogo naye katika uongozi/ushauri..........halafu inaelekea humjui vizuri huyu Mzee.......

.....sorry guys kwa kwenda nje ya mada kidogo.......

.....Back to Dk. Hosea...Unajua habari zikishavuja namna hii mnakuwa mnawapa shida sana watu kuamua...........

ogah IKIWA HUO NDIO UTARATIBU WA KUTAKA RC AKUTAFUTIE WATEULE WA NCHI NA KUMWACHA VP/PM BASI HUO NDIO MSINGI WA MWINYI KUDORORA SANA KTK KUIENDESHA NCHI MAANA NILISHAWAHI SIKI KUWA MOJA YA TOFUATI ZAKE NA WARIOBA ILIKUWA NI KUKIUKA MAKUBALIANO YA KIUTENDAJI KATI YAKE NA RAIS HASA PALE MZEE ALIPOKUWA ANAPENDA KUSIKILIZA MAONI YA MAWAZIRI (KIGHOMA,DIRIA NA MEYA KITWANA) WAKATI TAYARI WALISHAAAFIKIANA NA VP/PM KUHUSU JAMBO HILO HILO.

NIREJEE KTK MSIMAMO WANGU, SIKUBALIANI NA TAARIFA HII YA KUREJESHWA JIJINI KWA JK KULITOKANA NA OMBI LA RUKSA KWA MKUU WA MKOA WA IRINGA JSM, HILO NINALIPINGA MAANA HATA KAMA MWINYI ALIKUWA MVUNJA PROTOKALI KIASI HICHO SI KWA HILI LA KUMPA MTU UBUNGE NA UNAIBU WAZIRI, KUMBUKENI PIA UKARIBU WA JK NA RASHIDI NA NAFASI YA RASHIDI KTK CHAMA BY THEN ALIKUWA GS-WA CCM, SI MBAYA MKAFAHAMU KUWA JSM HAKUWA MTU WA KARIBU WA KAWAWA. NI KAWAWA NDIYE ALIYEMPELEKA JK KUSINI BAADA YA MAHUSIANO MABAYA KATI YAKE NA WAJESHI KULE MONDULI, CHAMA ILIBIDI KIMCHUKUE KADA WAKE NA KUMPELEKA KUSINI HUKO NDIKO WALIKOKUTANA NA CAPT DITO WA MZUZURI.
 
To me kheri Hosea angoke tuu,akija mwingine bogus tutathmini mbele kwa mbele
 
FairPlayer I think u mean Samson Luhigo. He was the most corrupt DG THA now (TPA) ever had.

Dredging Dar channel, ununuzi wa cranes mbovu, mkataba wa upanuzi wa bandari za Mtwara na Tanga, the list is endless....

Masatu,

DO you know what you are talking about?Embu malizia hio list na ukiwa na FACTS na sio bla bla tuone...Na sisi Tukuelezee kuhusu Mzee Samson Luhigo.
One of the Best Mtumishi wa Uma.
 
Hebu nipeni mipaka ya very soon!!!Maana habari ni ya tangu September 2008, huu ni mwezi wa 5 hakuna lolote. Hoseah anapeta tu na PCCB yake!!!! Anyway, tunasubiri uteuzi kama upo!!!! Kwani Chief Secretary alishatoa jibu la maelezo yake ambayo alisema anayafanyia kazi!!!???? Usanii and business as usual in the public sector. I am out.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom