msani
JF-Expert Member
- Jun 13, 2011
- 1,801
- 1,191
jamani inasikitisha na ni kwani ukubali kufunga ndoa kama inaweza kudumu kwa siku mbili tu na sio maisha.
wana mmu ndoa imefungwa jmosi trh 5/11 na imevunjika trh 6/11 jpili wakiwa kwenye honeymoon,binti aacha ujumbe atoweka,majirani hawajajua tatizo ni nini,kila mtu anakuja na la kwake?
lakini inakuwaje ukubali kufunga ndoa na unajua hauwezi kudumu nayo au tatizo gani kubwa ambalo haliwezi kusameheka wakati wa fungate mpaka kuamua kuvunja ndoa?
yanayoongelewa:
-labda mwanaume sio riziki
-labda mwanamke amekimbia shughuli ilivyokuwa kuwa pevu usiku ule,labda alikuwa bikira
-huenda binti alikuwa na mtu mwingine
why this happens?watu wamelia sana